Vijana wangu msiuache mfumo dume

Mnao andika hivi ndio wengi mnapiga kelele 50 kwa 50
 
Kazi ya lilith hii baada ya kumdrive Sana Adam akavuta chombo kingine Hawa.
Lilith akaapa atapambana na uzao wa Hawa.Lilith anawatumia freemason kuhakikisha ana mbomoa mwanaume.
Daaah
 
UKWELI NI KWAMBA HUWEZI KUWA SAWA NA ASIYE ENDA PERIOD

HAKUNA USAWA, NA HAUTAKUJA KUWEPO USAWA WA JINSIA HIZI

USAWA UPO KWA WANAUME MASHOGA, NA TAKATAKA ZINGINE ZA NAMNA HIYO
 
Mfumo jike umetamalaki nimeshuhudia macho yangu wanawake watafutaji wanasema bora watafute kivulana ambacho kitamkidhi haja zake lakini sio kuolewa ambacho anaweza yeye kukimudu.
Duh
 
Mfumo jike๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Your browser is not able to display this video.
 
Hongera sana Dada.. you are right [emoji817]%.. God bless you. Such a powerful message.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ