Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,979
- 5,295
- Thread starter
- #121
Ni kweli ila sio mimi wa kutelekeza mali zangu na kwenda kufia kusikojulikana, hao ni wazee wapuuzi kama wapuuzi wengine. Kwangu watoto kunichukia is not a big deal, kwa sababu sitegemei msaada wa watoto hata nikizeeka, na sitarajii kuwategemea. Wakinipenda sawa, wasiponipenda sawa.Tahadhari, mwanamke akiwa bado mtoto wake hajafikia umri kuanzia rika la form 4 au six kwenda juu kidogo makucha hayatowi yote, ila watoto wake wakifika hiyo level sasa ni muda wa kutoa makucha yote, na hakuna kiumbe kinajua kupandikiza chuki kwa watoto dhidi ya mazaz kama mwanamke, so usijiamin sana eti mkizeeka utakuwa ushatengeneza msingi kwa wanao, kuwa makin muda wote na hata ujiandalie namna utajihami vipi pia huko uzeeni huna nguvu tena, nguv na mama kwa watot ni kubwa kuliko ya baba, sabb ni kuwa wao hawaoni tabu kumjaza mtot chuki dhidi ya baba yao na mengi huwa ni uongo, ila baba muda hana wa kumfitini mtoto na mamaake? Take care maisha yako yote dhidi ya mkeo ndio maandiko ya dini yanasema. Wanaume walio wengi hukimbia miji yao uzeeni hata kam ana mali anaziacha anenda kuwa mlinzi na kufia kusikojulikana,
Sina muda mchafu wa kujieleza kwa matoto majinga ili yanielewe, wakiamini wanachoambiwa na mama yao its up to them, sina muda wa kujieleza ili nikubalike kwao.
I take my time! That's the way I've been raised to be!