Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Acha wakati ushajua ni nini unakwenda kufanya kama ni biashara anza taratibu ukiwa kazin, ukiacha unakwenda ukiwa na uhakika wa chakufanya.
 
Nina swali: Kama kipato changu cha kuajiriwa ni 2m, na ujasiriamali unanipa 3m, nikiacha ajira ni sahihi? ili nibaki na ujasiriamali ili nipate fursa ya kuuboresha zaidi
 
Mkuu nimesema hivi ili kuonyesha kwamba hiyo huenda ikawa biashara isiyohitaji mshahara mkubwa sana. Lakini biashara inayolipa sana, hasa ukipata location yenye population kubwa ya watu. Mo anakuambia kwamba :"ukitaka kuwa tajiri wekeza kwenye matumbo ya watu". Na huu uwekezaji kwenye soko la chakula ndio umemtoa Mo kibiashara. Biashara ya chakula inalipa sana mkuu.

Mkuu Tpaul,,
Yaani umesema nilichotaka kukueleza, hamna binadamu asiyekula, bora akaibe au aende msikitini/kanisani ili ale. Sasa kabla ya kuacha kazini nakushauri tafuta sehemu ujaribishe uone mziki wake(Kuna watu wenye chuki, wezi, wivu, wenye roho nzuri, wanasema kuna na wachawi etc.) halafu ndio uje kutumbukiza hizo TZS 50M za watu. Mimi nimefanya biashara ya chakula miaka 20 sasa , ukweli inalipa mpaka 200% faida, uliwahi kumuona muuza mihogo au karanga anaambiwa bei kubwa?watu huona bei ni ndogo na kumuomba fadhila awapunguzie na uzuri wa hii Bashara ya chakula hulali njaa-ahahaaaaaa na mara nyingi haina kusubiri vikao va tender au maamuzi ya jamaa wanaotaka 10%. Ningejua uko wapi labda ningekwambia pa kwenda au kumtuma mtu wako kama unaye ambaye hatakuingiza kwenye umasikini kwa kukosa uaminifu, mimi sasa baada ya usumbufu mwingi nimekubali yaishe nimewapa kiwango kuwa hizo biashara ni zao wanipe kiasi X kwa mwezi basi, maana nimewapeleka wengi polisi wanaishia kufungwa wakati si lengo langu na wengi siku ya kuomba kazi wanakuja na biblia na misaafu au wameokoka wakiiona pesa wanasahau kabisa walikotoka, nakutakia kila la kheri, ila jaribu upepo kabla ya kuacha kazi.
 
Nina swali: Kama kipato changu cha kuajiriwa ni 2m, na ujasiriamali unanipa 3m, nikiacha ajira ni sahihi? ili nibaki na ujasiriamali ili nipate fursa ya kuuboresha zaidi
Lakini unajua si kila ajira ni mbaya?Mimi kama nilitaka kuwa Pilot wa ndege na ni kazi naipenda na napata million 2 na inanitosha kwa matumizi yangu si rahisi kuniachisha/kuacha hiyo kazi nije kuuza samaki nipate million 3. Na itategemea hilo zoezi la kuipata hiyo Million 3 nimeona ni endelevu kwa muda gani.
 
Asante kwa ushauri huu mujarabu mkuu. Nitaufanyia kazi. Kwa sasa nipo Dar. Hii biashara ya chakula imenivutia sana. Jirani yangu kajenga nyumba 2 kutokana na biashara ya chips. Mtu ukikomaa vizuri lazima utoke. Biashara ya chakula ukiitega sehemu yenye mkusanyiko mkubwa wa watu, inalipa.

Biashara nyingine ambayo watu wanaidharau ni biashara ya duka. Ukiitega mahali pazuri na umpate kijana muaminifu, utapiga hela hutaamini.
Mkuu Tpaul,,
Yaani umesema nilichotaka kukueleza, hamna binadamu asiyekula, bora akaibe au aende msikitini/kanisani ili ale. Sasa kabla ya kuacha kazini nakushauri tafuta sehemu ujaribishe uone mziki wake(Kuna watu wenye chuki, wezi, wivu, wenye roho nzuri, wanasema kuna na wachawi etc.) halafu ndio uje kutumbukiza hizo TZS 50M za watu. Mimi nimefanya biashara ya chakula miaka 20 sasa , ukweli inalipa mpaka 200% faida, uliwahi kumuona muuza mihogo au karanga anaambiwa bei kubwa?watu huona bei ni ndogo na kumuomba fadhila awapunguzie na uzuri wa hii Bashara ya chakula hulali njaa-ahahaaaaaa na mara nyingi haina kusubiri vikao va tender au maamuzi ya jamaa wanaotaka 10%. Ningejua uko wapi labda ningekwambia pa kwenda au kumtuma mtu wako kama unaye ambaye hatakuingiza kwenye umasikini kwa kukosa uaminifu, mimi sasa baada ya usumbufu mwingi nimekubali yaishe nimewapa kiwango kuwa hizo biashara ni zao wanipe kiasi X kwa mwezi basi, maana nimewapeleka wengi polisi wanaishia kufungwa wakati si lengo langu na wengi siku ya kuomba kazi wanakuja na biblia na misaafu au wameokoka wakiiona pesa wanasahau kabisa walikotoka, nakutakia kila la kheri, ila jaribu upepo kabla ya kuacha kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa ushauri huu mujarabu mkuu. Nitaufanyia kazi. Kwa sasa nipo Dar. Hii biashara ya chakula imenivutia sana. Jirani yangu kajenga nyumba 2 kutokana na biashara ya chips. Mtu ukikomaa vizuri lazima utoke. Biashara ya chakula ukiitega sehemu yenye mkusanyiko mkubwa wa watu, inalipa.

Biashara nyingine ambayo watu wanaidharau ni biashara ya duka. Ukiitega mahali pazuri na umpate kijana muaminifu, utapiga hela hutaamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huko kote nimepitia...........ukitaka kufanikiwa kwenye aina hizo za biashara uwepo mwenyewe...vinginevyo hakuna nguvu kazi yenye uaminifu kabisa nchi hii...
 
Kabla ya kuacha ajira umejiandaaje? Una akiba ya kukutosha kujikimu mpaka biashara itakapoanza kukulipa au ndo utarudi tena kuajiriwa kabla hata mwaka haujaisha? Una uwezo wa kuamka mapema na kufanya kazi muda mrefu kuliko mwajiriwa? Una stadi za kujisimamia na kusimamia wafanyakazi? Mambo ni mengi ila punguzeni matarajio. Uhuru na safari za mapumziko kwa aliyejiajiri vinakuja baadae sana mifumo ikishathibitika.
 
Aisee na mie nimeipenda hiyo ya chakula. Aina labda Bakery mfano kuoka mikate na kutengeneza,kupamba keki za sherehe. Ndugu; wapi ninaweza kupata mafunzo na mbinu nzuri ya biashara hiyo?
 
Hebu tupe uzoefu wako mkuu.

Mkuu wewe unaonaje? Je, mtu anayepata milioni 2 kwa mwezi hawezi kuacha kazi afanye kazi ya kujiajiri inayomlipa milion 5? Wewe huwezi mkuu?
Lakini unajua si kila ajira ni mbaya?Mimi kama nilitaka kuwa Pilot wa ndege na ni kazi naipenda na napata million 2 na inanitosha kwa matumizi yangu si rahisi kuniachisha/kuacha hiyo kazi nije kuuza samaki nipate million 3. Na itategemea hilo zoezi la kuipata hiyo Million 3 nimeona ni endelevu kwa muda gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii biashara ya mikate, cake and the like, inalipa sana I see. Hebu waone wataalamu wanaooka mikate na keki wakupe maarifa. Unaweza kuwaona food carterers watakupa muongozo mzuri sana.
Aisee na mie nimeipenda hiyo ya chakula. Aina labda Bakery mfano kuoka mikate na kutengeneza,kupamba keki za sherehe. Ndugu; wapi ninaweza kupata mafunzo na mbinu nzuri ya biashara hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika maamuzi haya hayaitaji kusoma mavitabu kikubwa ni kujiuliza tu uko tayari

Mafanikio ni uvumilivu, mtaani kuna shule kubwa sana ya maisha , kuna wakati mambo yangu yalikua magumu sana lakini cha kushangaza sikuwai kulala njaa

Marafiki utakaokutana nao baada ya kuacha kazi watakufunza mengi usioyajua kwenye ulimwengu wa utafutaji,

Tulikua tunajidanganya kua watu wa mtaani wanamaisha magumu nikaja kugundua kua walioko makazini ndio wanamaisha magumu zaidi
Hata mm nmegundua mkuu.
Yaani watu wa mtaani hawana presha kabisa ya maisha.
Nashangaa mm nimeacha kazi nikaingia mtaani halaf miez mitatu tu naanza kupata stress ya maisha.
Kiufupi walio makazini wanajifariji tu kuvaa T-shirts za makampuni siku za mei mosi lkn hawana maisha.
 
Lakini unajua si kila ajira ni mbaya?Mimi kama nilitaka kuwa Pilot wa ndege na ni kazi naipenda na napata million 2 na inanitosha kwa matumizi yangu si rahisi kuniachisha/kuacha hiyo kazi nije kuuza samaki nipate million 3. Na itategemea hilo zoezi la kuipata hiyo Million 3 nimeona ni endelevu kwa muda gani.
Perfect answer.
Unaweza ukawa unaipata hyo mil 3 lkn pengine mwezi mzima hulali nyumbani upo maporini tu au unawindwa tu muda wote haitakuwa na furaha na hyo milioni 3.
 
Mkuu mbu wa dengue, umenichekesha kweli! Mungu anisamehe kama huu mfano atausoma yaliyomtokea.Huyu mtu alikuwa na kazi nzuri na alikuwa anapata kama Million 5 kwa mwezi lakini akagundua kuwa akiwa consultant kwenye ile company anayofanya kazi atapata pesa zaidi-si chini ya Million 20 kwa mwezi na ilikuwa inahitaji elimu ambayo alikuwa nayo, lakini biashara iko porini, alitoka na ugonjwa huko ikawa shughuli kweli, Mungu ni mwema akapona, sasa hapo bora usiende kwenye kujiajiri uendelee na kazi na maisha mazuri.
 
Mkuu wewe unaonaje? Je, mtu anayepata milioni 2 kwa mwezi hawezi kuacha kazi afanye kazi ya kujiajiri inayomlipa milion 5? Wewe huwezi mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya kuacha kazi nitafanya research na kuangalia kwa muda wa kutosha kama hiyo biashara ni endelevu la sivyo nitaangalia risk iliyopo ya kuacha nilicho nacho na kukimbilia ambacho sijakiona kwa undani.
 
Mkuu huko kote nimepitia...........ukitaka kufanikiwa kwenye aina hizo za biashara uwepo mwenyewe...vinginevyo hakuna nguvu kazi yenye uaminifu kabisa nchi hii...
Kweli mkuu....biashara inabd usimamie peke ako.
Ndugu ni wabaya sana...hata mke wakat mwingn naye hafai, yan anaiba kbs!! Shida ni pale una biashara kuanzia 3..4..5 kuendelea
 
Asante kwa ushauri huu mujarabu mkuu. Nitaufanyia kazi. Kwa sasa nipo Dar. Hii biashara ya chakula imenivutia sana. Jirani yangu kajenga nyumba 2 kutokana na biashara ya chips. Mtu ukikomaa vizuri lazima utoke. Biashara ya chakula ukiitega sehemu yenye mkusanyiko mkubwa wa watu, inalipa.

Biashara nyingine ambayo watu wanaidharau ni biashara ya duka. Ukiitega mahali pazuri na umpate kijana muaminifu, utapiga hela hutaamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni jambo la kufurahisha karibu ni asilimia kubwa sana ya watu wanakula hizo chips na mayai au kuku waliokuzwa kwa siku kadhaa??? Kiukweli DAR yote imejaa watu na hamna asiyejua chips kuanzia mtoto mpaka mtu mzima.
 
Back
Top Bottom