Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Mimi nina wazo la kufuga nzige, hapa najiandaa kwenda uganda nikachukue mbegu ya nzige niwalete nchini nasikia ufugaji wake ni mwepesi sana na huko uganda wapo tu hawauzwi just kuwachota tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaona neno la kuhusu, uchawi, nondo hizi nazi- 'recommend' kwa wasomaji tu. Ila mjasiriamali bila kushughulikia kipengele cha uchawi ajiandae kusimulia 'nikuwaga napataga' Never underrate African ways!
 
Back
Top Bottom