Vijana wanaosema wanatengeneza website bure ni matapeli

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,438
Reaction score
3,951
Wadau kaeni sawa imenitokea. Matapeli wapo kazini.

Hawa vijana wanao tangaza kuwa ni wataalam wa kutengeneza Website (tovuti) sawa na bure wengi wao ni matapeli hawafai. Nimekutana nao kama 4. Wamo wakenya na watanzania. Majina wanayo yatumia ni Mediapix, Datazone technology... na tovuti wanazo uki google utawaona. Wao wanataka kila kitu online hawana ofisi wala nn.

Hawa vijana wanakwambia lipia Hosting na registration tu bei inaanzia 100,000-250,000. Kwanza hawana ofisi wanakwambia location ya ofisi ambapo haipo. Wanakwambia atakutengenezea utalipia akimaliza. Anakuwekea demo kwa usiyejua utajua ni yenyewe. Anaanza kuomba pesa umpe zote ili amalizie. Kinachotokea anajiandikisha yeye kuwa admin. Kuna vitu anafuta anakwambia umeharibu umlipe arekebishe. Kama tovuti ni ya malipo ya bidhaa anakwambia kuna plugin za kununua na akufungulie acount ya benki ulaya irahisishe malipo umlipe... Hapo unampa hela ya kufungua acount, hela ya plugins za malipo namba ya sim ya ulaya atakupa ili ikusaidie kuweka kwenye acount ya benki inapo funguliwa.

Wana introduce vitu vingi halafu ukishamlipa haifanyi hiyo kazi anasepa. Ukimwambia unayo domain na hosting tayari anakwambia lipia pesa hiyo hiyo akutengenezee halafu anakwambia hiyo server iko slow sana akuhamishie kwenye server nyingine unamlipa tena. Ukimkimbia baada ya kulipia ukiangukia kwa mwingine anakwambia server haifai nakuhamishia kwingine ukalipie kwake...

Ninachotaka kuwaomba wadau msiingie kwenye hizo giza. Mmoja anaitwa Mediapix alitangaza hapa Jf na amefunga comments zote baada ya kutapeli watu kadhaa. Mjihadhari sana wako instagram, twitter, facebook na hapa jf ndio wana promote matangazo yao.

Ushauri wangu usimkubalie mtu asiye na ofisi physical ambayo utafika na umsainishe mkataba wa kazi yako mwanzo mwisho mpaka makabidhiano, vinginevyo ni hatari sana. Kwanza wanazo namba ambazo hawakuzisajili kwa majina yao wengine wamepata lipa namba za majina ya biashara na hawana ofisi wako mtandaoni hawaogopi

Wakija na ujinga kwenye huu uzi nitaweka namba zao na chats zao kuhusu kazi walizofanya hata kwa marsfiki 2 nime screenshot zote ili hata wakizifuta ninazo. Kaeni chonjo msidanganyike mkaliwa vichwa. Wengine hata hawajui kutengeneza website anakulia pesa zote hutakaa uione hiyo website.

Take care.
 
Ni mtu Mpumbavu tu na mjinga na asiyejua technolojia anayeweza mruhusu designer ( Hata kama sio tapeli ) amiliki domain.

Vitu vya muhimu kwa website:

1. Domain ndo biashara yako, na brand yako, inamilikiwa na wewe, akishanunua thibitisha ni yako kwa kuwa na email yako, whois.com.

2. Akishamaliza website, na kama wewe ndo mmiliki halali ina maana unaweza ingia kwenye c panel na kubadili kila password that you know.

3. Hakikisha mifumo yote ya email ni ya kwako, na una direct access na eneo ambapo email zinatengenezwa.

4. Hakikisha kama ni WP or any other platform user ni wewe peke yako , na kama unataka kumuacha na yeye kama user, Mpe limited access and never an admin.

Usipoyazingatia hayo hapo juu, utafanywa mtumwa na website yako! Kunaa designer wema sana nimekutana nao, ila akiishiwa, anatengua data base ananyamaza, utamtafuta tu.
 
Asante umetusaidia
 
Elimu tu ndo changamoto ila kwa mtindo umetusaidia
 
Wengine tulikuwa hatujui blaza na tukajifunza kwa njia ngumu sana na hasara za kutosha
 
Ni mtu Mpumbavu tu na mjinga na asiyejua technolojia anayeweza mruhusu designer ( Hata kama sio tapeli ) amiliki domain.

Vitu vya muhimu kwa website:

1. Domain ndo biashara yako, na brand yako, inamilikiwa na wewe, akishanunua thibitisha ni yako kwa kuwa na email yako, whois.com.

2. Akishamaliza website, na kama wewe ndo mmiliki halali ina maana unaweza ingia kwenye c panel na kubadili kila password that you know.

3. Hakikisha mifumo yote ya email ni ya kwako, na una direct access na eneo ambapo email zinatengenezwa.

4. Hakikisha kama ni WP or any other platform user ni wewe peke yako , na kama unataka kumuacha na yeye kama user, Mpe limited access and never an admin.

Usipoyazingatia hayo hapo juu, utafanywa mtumwa na website yako! Kunaa designer wema sana nimekutana nao, ila akiishiwa, anatengua data base ananyamaza, utamtafuta tu.
Hivi Google workplace hawatoi domain za bure
 
$12 per month
Hakuna ni shilingi dollars mpaka 8$ kwa mwaka tumia domain kama za jamiiforums, Facebook au Twitter wanatumia "Com" mfano Facebook.com au tiktok.com professional sawa

japo gharama za domain inategemea na mahali unaponunua yapo majukwaa mengi yanauza ila domain ambayo ni cheap na inatumika na makampuni makubwa ni com na malipo ni kila mwaka sio zaidi ya elfu 25 tu.
 
Ni mtu Mpumbavu tu na mjinga na asiyejua technolojia anayeweza mruhusu designer ( Hata kama sio tapeli ) amiliki domain.

Vitu vya muhimu kwa website:

1. Domain ndo biashara yako, na brand yako, inamilikiwa na wewe, akishanunua thibitisha ni yako kwa kuwa na email yako, whois.com.

2. Akishamaliza website, na kama wewe ndo mmiliki halali ina maana unaweza ingia kwenye c panel na kubadili kila password that you know.

3. Hakikisha mifumo yote ya email ni ya kwako, na una direct access na eneo ambapo email zinatengenezwa.

4. Hakikisha kama ni WP or any other platform user ni wewe peke yako , na kama unataka kumuacha na yeye kama user, Mpe limited access and never an admin.

Usipoyazingatia hayo hapo juu, utafanywa mtumwa na website yako! Kunaa designer wema sana nimekutana nao, ila akiishiwa, anatengua data base ananyamaza, utamtafuta tu.
Layman atajua hili? Si kila mtu ana ufahamu wa haya. This is not common sense mkuu.

Wamewaamini wenye ujuzi, wakaangushwa
 
Ni mtu Mpumbavu tu na mjinga na asiyejua technolojia anayeweza mruhusu designer ( Hata kama sio tapeli ) amiliki domain.

Vitu vya muhimu kwa website:

1. Domain ndo biashara yako, na brand yako, inamilikiwa na wewe, akishanunua thibitisha ni yako kwa kuwa na email yako, whois.com.

2. Akishamaliza website, na kama wewe ndo mmiliki halali ina maana unaweza ingia kwenye c panel na kubadili kila password that you know.

3. Hakikisha mifumo yote ya email ni ya kwako, na una direct access na eneo ambapo email zinatengenezwa.

4. Hakikisha kama ni WP or any other platform user ni wewe peke yako , na kama unataka kumuacha na yeye kama user, Mpe limited access and never an admin.

Usipoyazingatia hayo hapo juu, utafanywa mtumwa na website yako! Kunaa designer wema sana nimekutana nao, ila akiishiwa, anatengua data base ananyamaza, utamtafuta tu.
Mkuu asiyefuata uliyoandika ataendelea kupigwa. Watu wengi nimeona kila kitu wamewaachia designers ambao huishia kuwaliza. Comment yako imemaliza kila kitu.
 
Wadau kaeni sawa imenitokea. Matapeli wapo kazini.

Hawa vijana wanao tangaza kuwa ni wataalam wa kutengeneza Website (tovuti) sawa na bure wengi wao ni matapeli hawafai. Nimekutana nao kama 4. Wamo wakenya na watanzania. Majina wanayo yatumia ni Mediapix, Datazone technology... na tovuti wanazo uki google utawaona. Wao wanataka kila kitu online hawana ofisi wala nn.

Hawa vijana wanakwambia lipia Hosting na registration tu bei inaanzia 100,000-250,000. Kwanza hawana ofisi wanakwambia location ya ofisi ambapo haipo. Wanakwambia atakutengenezea utalipia akimaliza. Anakuwekea demo kwa usiyejua utajua ni yenyewe. Anaanza kuomba pesa umpe zote ili amalizie. Kinachotokea anajiandikisha yeye kuwa admin. Kuna vitu anafuta anakwambia umeharibu umlipe arekebishe. Kama tovuti ni ya malipo ya bidhaa anakwambia kuna plugin za kununua na akufungulie acount ya benki ulaya irahisishe malipo umlipe... Hapo unampa hela ya kufungua acount, hela ya plugins za malipo namba ya sim ya ulaya atakupa ili ikusaidie kuweka kwenye acount ya benki inapo funguliwa.

Wana introduce vitu vingi halafu ukishamlipa haifanyi hiyo kazi anasepa. Ukimwambia unayo domain na hosting tayari anakwambia lipia pesa hiyo hiyo akutengenezee halafu anakwambia hiyo server iko slow sana akuhamishie kwenye server nyingine unamlipa tena. Ukimkimbia baada ya kulipia ukiangukia kwa mwingine anakwambia server haifai nakuhamishia kwingine ukalipie kwake...

Ninachotaka kuwaomba wadau msiingie kwenye hizo giza. Mmoja anaitwa Mediapix alitangaza hapa Jf na amefunga comments zote baada ya kutapeli watu kadhaa. Mjihadhari sana wako instagram, twitter, facebook na hapa jf ndio wana promote matangazo yao.

Ushauri wangu usimkubalie mtu asiye na ofisi physical ambayo utafika na umsainishe mkataba wa kazi yako mwanzo mwisho mpaka makabidhiano, vinginevyo ni hatari sana. Kwanza wanazo namba ambazo hawakuzisajili kwa majina yao wengine wamepata lipa namba za majina ya biashara na hawana ofisi wako mtandaoni hawaogopi

Wakija na ujinga kwenye huu uzi nitaweka namba zao na chats zao kuhusu kazi walizofanya hata kwa marsfiki 2 nime screenshot zote ili hata wakizifuta ninazo. Kaeni chonjo msidanganyike mkaliwa vichwa. Wengine hata hawajui kutengeneza website anakulia pesa zote hutakaa uione hiyo website.

Take care.
Nashukuru kwa kunifungua macho yaani hapa nilikuwa nasubiri logo ikamilike nimtumie kwenye whatsapp aendelee na kazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom