Vijana wanaojiita wapuuzi waanzisha mchakato wa kujiajiri


DTP-Disturbing The Peace
(Wavurugaji Amani linaongozwa na Ludacris)
 

Oh!...nlisahau kuwa wanaiga upuuzi wa Magharibi. Sijashawishika kuwachangia, bora nikamchangie yule jamaa wa mapapai; Good Luck!
 

Uvivu wa kufikiri. Unataka serikali mpaka ikuambie kitu cha kuzalisha? Hayo ndiyo matatizo yetu watanzania, tunapenda spoonfeeding!
 
Kuna siku humu humu watakuja watu wanajiita wase. Nge group na tutasema ni jina tu halina shida
 
Unaonyesha ni jinsi gani usivyo na HEKIMA!.

"HEKIMA" yako ipo upande upi?
Sijashawishika kuwaunga mkono hao "wapumbavu" kwa sababu baona mpango wao una asilimia kubwa ya kufa kibudu, ama hizo pesa kuishia kwenye chipsi kuku; Kuna "muvi" nyingi za kitanzania zinatoka kila wiki, lakini ni zinazofanikiwa kuuzika hazifiki hata asilimia mbili, watanzania wanataka kuona nani ameigiza, ray, kanumba, wolper na the like; sasa wao wanakuja na kipumbavu wajue kuna uwezekano mkubwa wa kupoteza, WAJIPANGE. Kwenye hii forum kuna nyuzii nyingi sana zinaongelea biashara za uzalishaji kwa mapana, lakini wewe na HEKIMA zako unaonesha huwa unaingia humu kwa bahati mbaya hasa unapoona heading za "kipumbavu" kama hii!....tumia muda kidogo kufanya research kwenye hizi kurasa utapata mambo mengi sana! TUMIA HEKIMA YAKO!
 
haya yote ni 'madhira' yatokanayo na utendaji wa 'sirkali' yetu. Ni nani angejipa jina hili leo kama si mwenendo mbovu wa wenyenchi hii?
 

Sintokushangaa asilani kwa uliyoyaandika kwa sababu sitegemei neno la maana toka kwako kwa sbabau huna HEKIMA wala huwezi kumshauri mtu!....Kwa kukusaidia tu nakukumbusha kuwa wanaitwa WAPUUZI movement na si WAPUMBAVU kama ulivyowaita....MUNGU ASIKUHESABIE MAKOSA YAKO.
 


Asante kwa kunikumbusha kuwa wanaitwa WAPUUZI....! Kiwango chako cha kufikiri kimeishia kwenye BongoMovie, na huko ndiko HEKIMA yako iliko! Tanzania haiwezi kuendelea kwa UCHUUZI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…