Vijana wanahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana wanahitajika

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by imma.one, Sep 14, 2012.

 1. imma.one

  imma.one JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 545
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Habari wana jf.
  Ofisi inafanya renovation, wanahitajika vijana wachapa kazi wenye ndoto za kufanya kazi zao binafsi na kukua.ofice iko dar inajihusisha na kutoa huduma kwenye mashule na vyuo.
  Karibu uwe sehemu ya vijana watatu wenye kuumiza vichwa kujikomboa kwa biashara mpya tanzania.
  Kama unajiamini unaweza kujituma ila umekosa vianzia.
  Fika magomeni Dar es salaam kesho 15/09/2012 kuanzia saa nne kamila hadi saa nane kamili.
  Uwe unakazi au huna cha msingi unajiamini pia elimu ya enterprenour by born or made.
  For more: 0753-810857.
   
 2. nyotanjema

  nyotanjema Senior Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mambo ya kuuza madawa hayo
   
 3. imma.one

  imma.one JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 545
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hapana sio issue ya kuuza madawa mkuu ni organization as recruitment agency
   
 4. C

  Chinga boy JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kuvalishwa tai na kubeba mabeseni
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  halafu huwa ofisi zao ni migomigo ndio huwa nyingi labda anakitu kipya..
   
 6. atubariki

  atubariki JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Acheni woga wala kuponda au nyie mnakazi mnaoponda
   
 7. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Kama sikosei mko mwembechai
   
 8. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Acheki kuvunja watu moyo, kama wewe umeona kuwa hiyo kazi haikufai kaa kimya, hata kama ingekuwa kazi ya kuuza maseni mbona kuna watu wanifanya?
  Tuache tabia ya kudharau kazi, huwezi kujua kuwa ktk kazi hizo za kuuza vyombo ndio sehem wengine wanatokea.
  Kuna jamaa yangu mmoja kule Mwanza wakati nasoma alini support sana. Yeye alianza ktk kampuni hizi za kuuza vyombo vya majumbani kama mechandizer yeye alichokifanya alichukua ile knowledge aliyoipata pale baada ya miezi mitatu akaacha ile kazi akawa anaenda kununua hivyo vyombo kwenye maduka ya jumla kisha anaenda anawauzia watu mtaani, baada ya muda mtaji ukakua akawa anapeleka vitu mikoa Mara, Bukoba na Shinyanga. Kwa sasa ni ana duka lake kubwa amejenga nyumba Mwanza anaishi huko.
  Wito wangu: Tuache tabia ya kudharau kazi kama wewe unaona haikufai acha wengine wafanye.
  Thanks
   
 9. bologna

  bologna JF-Expert Member

  #9
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 1,161
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  Wakuu changamkieni kazi hiyo. Hapo ni mzigo wa peni za cello au za obama.
   
 10. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #10
  Sep 15, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,350
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  i see somebody roitering arrond the school and collage campus
   
 11. 123yrz

  123yrz Member

  #11
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  changa la macho
   
Loading...