Katika kile kinachodhihirisha mmomonyoko mkubwa wa maadili katika jamii yetu, vijana wawili mkoani Arusha wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumlawiti kisha kumyonga hadi kufa kaka yao wa kuzaliwa tumbo moja, vijana hao wamekiri hadharani kufanya tukio hilo lisilo la kawaida ambalo sababu yake haijajulikana bado.
bangi, ushirikina, utajiri wa masharti ..mambo ya mererani huu!
PJ mie cjaelewa bwana, sasa hawa watoto nao washirikina au ni vipi hapo, wametumwa? na kama ndio hivyo wakatumwa wamuue ndugu yao nao wakafanya hivyo,umri wao?...haaa yaani nimeckia kizazi kinataka kuhamia mgongoni.
maarufu sana kama..'kitu cha arusha'bange ya arusha si masihara!!!!!!