Vijana wamlawiti na kumuua kaka yao

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,737
405
Katika kile kinachodhihirisha mmomonyoko mkubwa wa maadili katika jamii yetu, vijana wawili mkoani Arusha wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumlawiti kisha kumyonga hadi kufa kaka yao wa kuzaliwa tumbo moja, vijana hao wamekiri hadharani kufanya tukio hilo lisilo la kawaida ambalo sababu yake haijajulikana bado.
 
Katika kile kinachodhihirisha mmomonyoko mkubwa wa maadili katika jamii yetu, vijana wawili mkoani Arusha wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumlawiti kisha kumyonga hadi kufa kaka yao wa kuzaliwa tumbo moja, vijana hao wamekiri hadharani kufanya tukio hilo lisilo la kawaida ambalo sababu yake haijajulikana bado.

God created grasses, then he created a man to rule over the grasses,

A man created drugs out of grasses,

And drugs of the grasses reversed the whole creation process.

Then the grasses rule over the man.
 
Yah! Niliisikia hiyo haBARI asubuhi hii Radio 1. Kwa kweli hao vijana wa Njiro wanastahili kuadabishwa.
 
Majuzi mtu aliuliza kama yawezekana kaka akammega dada yake. Sasa hili la Arusha linaonyesha kali zaidi, kwmba hakuna lisilowezekana - kaka anaweza kumegwa hadi kufa na wadogo zake! Tuko salama tena? Just imagine, waliwezaje kuamsha majogoo yao ili kumshughulikia kaka yao na kisha wakaamua kumaliza ashiki zao kwa kumaliza ushahidi? Kama nyuki dume anapokufa mara baada ya kummega malkia wao asije akatamba kwenye jamii yao!
 
Either ni USHIRIKINA au Hao watuhumiwa
SIO WAZIMA KIAKILI hata kidogo.
 
Hawa vijana walio fanya kitendo hiki naskia walikuwa wanakula BANGE sasa zimewaharibu kichwani walimvizia ndugu yao anarudi wakamkamata na kumshusha bondeni ndiko waliko mfanyia unyama huu nafikiri ni Njiro Arusha.
 
Hizi ni dalili za kiama!!! Ukisoma maandiko ya dini (hasa biblia kwa wale wanaoamini) basi utakuta yote hayo. siku za mwisho za kunyakuliwa wateule zinakaribia. Kila aina ya uovu na magonjwa vitajitokeza!!!
 
Du kwa kweli nilikuta taarifa ndio inaishia na niliambualia kusikia ....kuuawa na ndugu zake! Dooh!

Imeniskitisha kwa kweli; Najaribu kupiga picha ya wazazi wao; ikiwa wapo hai!

Ewe Mwenyezi Mungu uwasamehe hao vijana na utupe nguvu ya kulivuka hili kwani bila wewe hatuwezi kwa jinsi ya kibinadamu!
 
bangi, ushirikina, utajiri wa masharti ..mambo ya mererani huu!

PJ mie cjaelewa bwana, sasa hawa watoto nao washirikina au ni vipi hapo, wametumwa? na kama ndio hivyo wakatumwa wamuue ndugu yao nao wakafanya hivyo,umri wao?...haaa yaani nimeckia kizazi kinataka kuhamia mgongoni.
 
PJ mie cjaelewa bwana, sasa hawa watoto nao washirikina au ni vipi hapo, wametumwa? na kama ndio hivyo wakatumwa wamuue ndugu yao nao wakafanya hivyo,umri wao?...haaa yaani nimeckia kizazi kinataka kuhamia mgongoni.

duh pole mamii, hii habari inatisha japo hatujapata kisa chote.
dunia yetu tunaiharibu kweli kweli!!
 
Yawezekana ikawa ndio ila hao vijana inavyo onyesha tuu ni akili zao ziko kushoto, kama kweli walifukuzwa mgulani sec huko dar huko arusha si ndio baraaaa wanatumia cha arusha na maisha yenyewe haya ndio dorooooo kwao na ushirikina ndio waongoza na matukio mengine kam ujambazi ndio nasikia siku hizi hata kwenye vibanda majambazi yavamia sasa mwategemea nini huko arusha kama matukio ya unyama kama huo na uharifu yanapamba moto duuuuh inatisha sana huo mji sasa

Huu ni uchafu wa aina gani tena ndugu kwa ndugu?? Ujambazi huko ni baraaa Bastora zatumika kama njuu zinvyouzwa mijini?
 
Inabidi tumrudie Mungu maana kila siku matukio ya ajabu ajabu haijatulia hili unasikia na lingine ili mradi kila siku kunazuka ya firauni.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom