Vijana wamesimamisha Msafara wa Magufuli

Vijana wamesimamisha Msafara wa Magufuli

Bila shaka waliandaliwa ndio maana wote wako ndani ya sare.

Sio mbaya kuandaliwa maana hata taarifa tu kuwa MPINGA MAFISADI anapita ni kuwaandaa watu wamsubiri aongee nao. Magufuri rais wetu piga kazi Maana kabla hujaingia tu kuna wagombea tayari wanajinyea na kujikojolea jukwaani na kwenye ndege. Kura yangu ni KWA MAGUFURI.
 
Mr chini..wewe ni mtu mzima..Usitudange bwn..Au kuwavunja nguvu wana ukawa..!!! Mbona wote wana sare za CCM??? kama ni watu wa njiani wasingekuwa na chama...Sisi tuko site na mitaani..Ukweli watu wanataka Mabadiliko..kwa uzalendo sio ushabiki kama mnavyofanya nini...!!!
 
Lazima mpaniki vijana wa Lowassa. Hizi zinaitwa unplanned stops.

Nimesema ukweli na hali halisi.
Ni kuminya fikra kufikiria kuwa wale vijana wamekutana na magufuli kwa bahati mbaya kama zali vile.

Na hata wale vijana wanaodeki mabarabara hua sio kwa bahati mbaya.

Uzoefu unaonyesha magufuli si mwoga wa kuzomewa kihivyoo aliwanyooshea vijana wa Mbeya ✌ na kuwaambia Chadema oyee...

Na kama nilivyosema hapo awali, makundi ya kuzomea misafara ya wagombea nayo pia huwa hayatokei kwa bahati mbaya.

Watu wanadhamiria wanajipanga.wanakaa mahali maalumu katika ruti halafu wanajioiga selfie kibao mnato na video na kuzirusha

Ha ha ha

Basi sawa nimewaelewa
 
Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania bila hata kuangalia kigezo cha udhoofu wake kiafya na kifikra.
 
Utaifa kwanza...CCM tumeichoka na uwongo wa ahadi miaka nenda rudi...Nchi yetu MUNGU kaipa utajiri sehemu mbalimbali...Maendeleo mnayoyasema Ccm..ukweli hayalingani na utajiri wa nchi yetu!!!!...Leo hii tunashindwa hata na RWANDA...halafu bado sisi wananchi tuwachague nyinyi CCM....
 
CCM kwa kusomba watu hamjambo..nilikua Kilwa kikazi ambako Magufuli jana alihutubia..njia nzima wakati tunatoka Kilwa hiyo jana saa tatu asubuhi kurudi Dar ni makundi ya watu walioandaliwa na kuvishwa sare za CCM. Kuanzia Kilwa kwenyewe..Nangulukulu..Kipatimo..Ikwiriri..Kimanzichacha..Kibiti mpaka karibu na Dar..Eicher, Fuso na malori ya mchanga jana yalipiga kazi kweli kweli..ntaweka picha soon.
 
CCM kwa kusomba watu hamjambo..nilikua Kilwa kikazi ambako Magufuli jana alihutubia..njia nzima wakati tunatoka Kilwa hiyo jana saa tatu asubuhi kurudi Dar ni makundi ya watu walioandaliwa na kuvishwa sare za CCM. Kuanzia Kilwa kwenyewe..Nangulukulu..Kipatimo..Ikwiriri..Kimanzichacha..Kibiti mpaka karibu na Dar..Eicher, Fuso na malori ya mchanga jana yalipiga kazi kweli kweli..ntaweka picha soon.

hiyo ndo safi sana,,,acha lowasa awahutubie masela wa mjini,,,,,,,,,,,Rais Magufuli anawafuata wananchi popote walipo
 
Yaani ni uwongo wa wazi kabisa. Wote wamepiga sare za CCM wakiwa na kofia, kanga, Fulana, Viremba, Bendera za CCM wakakaa barabarani wakimsubiri aje kuwahutubia.
Mmh CCM mna vichekesho sana.
 
Jibuni hao vijana wa mtaani kweli mbona wana jezi za magamba walizipata wapi kama hawakuandaliwa? Acheni uzuzu nyie magamba wadogo.
 
Jamani kweli ina maana watu barabarani huwa wamevalia sare za chama muda wote?
 
Back
Top Bottom