gnassingbe
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 4,826
- 3,585
Ungependa wawe wamevaa magwanda ya pipooz?
Hebu tumia akili yako kufikiri japo kidogo.
Unadhani vijana hao wamwkutana naye bahati mbaya?
Ni wazi walijua ratiba yake, kisha wakajiaandaa na kujipanga namna ya kukutana naye katika hiyo ruti yake.
Na kwa kuwa haikuwa kwenye ratiba rasmi lazima wajitofautishe na yale magenge ya chadema ambayo hukaa njiani kwa lengo la kuzomea.
Sijui unaelewa au nianze ule msisitizo wa elimu, elimu, elimu??
Maajabu ya musa halafu unaeza kuta hizo nguo za kijani ni kodi zetu majanga!