Vijana wajitokeza kwa wingi kuomba nafasi za JKT Iringa

Dabaga1998

JF-Expert Member
Apr 10, 2016
994
502
IMG_5131.JPG
 
usilolijua ni sawa na usiku wa giza jeshi sio kazi ni shughuli ukifuata hela utakubali show ukutane na selebango b\pale kwetu 303kv
 
Unaenda kuomba kazi ya jeshi umevaa kitenge..mwingine kavaa "kata K"


Yaani kama mimi ndiye ningekuwa nawaadahili, ningeanza kwanza nalo hilo kavaa kitenge kofia bila msingi wowote, wakikosa waty kama hawa wanalalamika sana
 
....sijawahi kutamani hii kazi, sioni wide future ndani yake, simshauri mtu kwenda kama ana vision kubwa...
 
Back
Top Bottom