Vijana wajipanga kufanya uporaji mkubwa baada ya mechi ya yanga

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,733
239,339
Umakini unatakiwa kwa kila mtu aliye mpirani wakati anarudi nyumbani .

Uchunguzi wangu umebaini kwamba makundi ya vijana yatajipanga kuanzia maeneo ya keko furniture , DDC , BORA , NJIA PANDA YA MAGEREZA , NJIAPANDA YA TAIFA NA NJIA PANDA YA TCC CLUB , Taarifa zaidi zinadokeza kwamba wataanza kusogea barabarani kuelekea mwisho wa mchezo .

Uzoefu unaonyesha kwamba polisi hawana habari na yanayotokea baada ya mchezo , ni wajibu wa kila mmoja kujilinda mwenyewe , haijalishi uko kwenye gari au unatembea kwa miguu .

MyTake - Mjumbe hauwawi .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom