Hizi kazi wengi tushafanya sana,na tukaona kawaida!!!unakuta baba waya mkali,maza hasomeki,skuli hauna ada/mchango stiki kwa kwenda mbele halafu mtaa fulani kuna gange kama hili unajitia ndani.na jioni unalisha na familia/wadogo zako-maisha yetu kuta tu za nyumba ndo zinaficha!!!Usimwangalie mtu kwa pamba anazovaa(nguo zinakaa muda mrefu) mcheki anakula nini(msosi ni kila siku tena mara tatu).by the way sio mfumo poa wa maisha