Habari zenu wanandugu...mimi ni mdahiliwa wa chuo kikuu cha dar es salaam kwa mwaka mpya huu wa masomo..nimepangwa hostels za mabibo... Kwakuwa me si mwenyeji sana wa mji huu ninapendelea zaidi kukaa hostels za ndani uku nikisoma mazingira ya mji taratibu...tafadhali kama kuna alie instrested na kuishi mabibo na amepangiwa hostels za ndan ani PM tuongee jinsi gan ntamwachia nafasi yangu ya mabibo block D...floor ya pili..shukran
Mwendawazimu gani atakubali aongeze gharama za nauli kwa kuishi mabibo? Wewe nenda tu dogo, tena kama unapenda milupo pale ndo kwenyewe! Hahahaaaaaaaaa!
me binafc napapenda mabibo coz ni pasafi tofaut na cumpus..ila nakerekaga na ishu za kugombea shato.
uandishi wako mbovu.
uandishi wako mbovu.
kaa hukohuko we dogo! Hall 5 na 2 ni sawa na mabibo labda 6 na 4..kuna madem wa kutosha huko.nyege na kipururu vitakuisha..
dogo umedisco udom, mambo ya mlimani yanakuhusu nini, au unatafuta basha lingine stupid.
kumbe mlimani siku hizi wanafundisha matusi!!. Kazi ipo.
unagongwa..
Ungejua mabibo ndo ful burudan hata ucngehama!