vijana wa udsm mliopangwa hostels za main campus

Ginner

JF-Expert Member
May 8, 2011
1,459
1,832
Habari zenu wanandugu...mimi ni mdahiliwa wa chuo kikuu cha dar es salaam kwa mwaka mpya huu wa masomo..nimepangwa hostels za mabibo... Kwakuwa me si mwenyeji sana wa mji huu ninapendelea zaidi kukaa hostels za ndani uku nikisoma mazingira ya mji taratibu...tafadhali kama kuna alie instrested na kuishi mabibo na amepangiwa hostels za ndan ani PM tuongee jinsi gan ntamwachia nafasi yangu ya mabibo block D...floor ya pili..shukran
 
Jf bwana,kesho mwngne ataomba madesa ya EC 216 hapa jukwaani,acheni utoto nyie wanafunzi..
 
Habari zenu wanandugu...mimi ni mdahiliwa wa chuo kikuu cha dar es salaam kwa mwaka mpya huu wa masomo..nimepangwa hostels za mabibo... Kwakuwa me si mwenyeji sana wa mji huu ninapendelea zaidi kukaa hostels za ndani uku nikisoma mazingira ya mji taratibu...tafadhali kama kuna alie instrested na kuishi mabibo na amepangiwa hostels za ndan ani PM tuongee jinsi gan ntamwachia nafasi yangu ya mabibo block D...floor ya pili..shukran

Umedahiliwa kwa 'direct qualifications au mature entry program'? Hebu angalia hapo kwenye rangi ya magamba na utujuze ulikuwa una maana gani! Mweeeeeeeeeeeee!
 
Mwendawazimu gani atakubali aongeze gharama za nauli kwa kuishi mabibo? Wewe nenda tu dogo, tena kama unapenda milupo pale ndo kwenyewe! Hahahaaaaaaaaa!
 
me binafc napapenda mabibo coz ni pasafi tofaut na cumpus..ila nakerekaga na ishu za kugombea shato.
 
kaa hukohuko we dogo! Hall 5 na 2 ni sawa na mabibo labda 6 na 4..kuna madem wa kutosha huko.nyege na kipururu vitakuisha..
 
huyo dogo ka ana pesa akakae kitaa 2...maana lyf la hostel lna challenges za kutosha.
 
Habari zenu wanandugu...mimi ni mdahiliwa wa chuo kikuu cha dar es salaam kwa mwaka mpya huu wa masomo..nimepangwa hostels za mabibo... Kwakuwa me si mwenyeji sana wa mji huu ninapendelea zaidi kukaa hostels za ndani uku nikisoma mazingira ya mji taratibu...tafadhali kama kuna alie instrested na kuishi mabibo na amepangiwa hostels za ndan ani PM tuongee jinsi gan ntamwachia nafasi yangu ya mabibo block D...floor ya pili..shukran

we nenda tu... Mimi life la mabibo nitalisongesha tu. Mi mtoto wa kiume bhana. Mabibo hoyeeeeeeee!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom