Vijana wa siku hizi Tunasema Mahaba niue

Vijana wa siku hizi Tunasema Mahaba niue

MAHABA NIUE,KICHWA KUUMA,MIGUU KUTETEMEKA.
Unakuta kuna babe umempenda sana na unakuwa na hamu ya kuchat nae kwa sms au hata whatsapp.
Tatizo ni chat zake.
ukimtext mambo yeye anajibu poa na hata hakuulizi hali yako,wakati mwingine ukimuuliza hujambo anasema sijambo au anaweza kukujibu k akimaanisha Ok.
Yaani majibu mafupi kama mmegombana na wakati mwingine unajiunga extreme sms 500 kwa ajili yake lakini majibu makavu kama hakujui
*labda ninapenda nisipopendeka*

Waiting in vain...!love doesn't ask why !!!!
 
Sasa wewe unataka umsalimie aanze storiii??
 
Sometimes mtu unakuwa njee ya mood..ukimchunia mtu atalalamika bora ujibuu
 
nimeshamwambia na anasema yeye ndio ana chat hivyo. Nakomaa hapohapo mpaka kieleweke. Dawa ya jeuri ni kibri

poleni, mm na mwenzi wangu tuko some kilometres apart, sasa tumeamua kuhamia airtel, moja ya sababu ni kuwa voda tulikuwa tunapata sms 100 dk 15 sh 1750, airtel sh 1995 tunapata sms 500 na dk 40,na zoote uisha baada ya siku2 na kunilazmisha kuiunga upya katikati mwa wiki,majina yote tumeitana sijajua limebaki lipi! Dah raha kumpata mnayepenana, mnayekubaliana ktk mambo mengi....mahaba usiniue nafaidiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
ahaaa
hongera
poleni, mm na mwenzi wangu
tuko some kilometres apart, sasa tumeamua kuhamia airtel, moja ya sababu
ni kuwa voda tulikuwa tunapata sms 100 dk 15 sh 1750, airtel sh 1995
tunapata sms 500 na dk 40,na zoote uisha baada ya siku2 na kunilazmisha
kuiunga upya katikati mwa wiki,majina yote tumeitana sijajua limebaki
lipi! Dah raha kumpata mnayepenana, mnayekubaliana ktk mambo
mengi....mahaba usiniue nafaidiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
poleni, mm na mwenzi wangu tuko some kilometres apart, sasa tumeamua kuhamia airtel, moja ya sababu ni kuwa voda tulikuwa tunapata sms 100 dk 15 sh 1750, airtel sh 1995 tunapata sms 500 na dk 40,na zoote uisha baada ya siku2 na kunilazmisha kuiunga upya katikati mwa wiki,majina yote tumeitana sijajua limebaki lipi! Dah raha kumpata mnayepenana, mnayekubaliana ktk mambo mengi....mahaba usiniue nafaidiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
asante mkuu. embu weka namba yake nijaribu
 
Siyo wote wenye interest za kuchat ni vizuri ujue mpenzi wako yuko kundi gan? pia ukiona hivyo sometime ni hapendwi tu hapo.!!!!
huwa wakati mwingine ananiomba nijiunge sms hata 1000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom