Vijana wa siku hizi hawajui kutongoza

Ngomo

JF-Expert Member
Oct 15, 2009
200
95
zamani wakati tunakua ilikuwa ukitaka kumtongoza msichana unatumia muda mrefu na wakati mwingine njia mngumu sana mpaka umuweke kwenye himaya yako. Kwa mfano kama unakaa kijijini unaweza kwenda kwenye kisima cha ktekea maji na kuomba muongee naye japo kidogo au hata kuongea unashindwa una mpa barua ya kumtaka mapenzi. siku ya siku akikukubalia ilikuwa kazi kweli kuvua nguo lazima uwe na nguvu za ziada ndipo uweze kufanikiwa; Vijana wa siku hizi wala hawana shida kabisa akikutana na msichana anamwambia oyaa huo mzigo utatoa na binti anamjibu kiulaini kabisa kwani wewe una shilingi ngapia halafu anatoa mzigo.
 
mmmmmhhhhh ,haya bana.
Subiri ma dot.com wakushukie,mi simo aisee.
 
hao wanaoambiwa watoe mzigo ni wanawake? au ni watu wapo zao kwenye mauzo? maana wanawake wengine a/c zao zinaburst swala la sh ngapi halipo.hao huwa wanasemaje?
 
kipindi hicho walikuwepo wachache.sasa hivi wapo wa kumwaga.sasa yanini kung'ang'ana na mademu?kama hataki mda hohuo unapata mwingine.
 
Kuna toauti kati ya kutongoza na kununua...
Jamaa anaongelea kununua.
Labda tuseme wa zamani walikuwa hawauzi.

Hapana umeenda mbali... nina maana hio hio kutongoza, which has evolved in miles siku hizi.... A lot of signs rather than juhudi needed...
 
Mimi ilikuwa nikikubaliwa inabidi niende kwao night kali halafu tumepatana kuwa ajifunge kamba mguuni au mkononi halafu aitolee dirishani kwa hio nikifika pale kama saa nane fulani hivi navuta ile kamba na akishtuka anajua ndio kidume chake kimefika ila first time lazima uvizie akitoka kujisaidia night ndio uanze kibarua cha kutangaza sorry kutongoza
 
inamaana wanawake wanao tongozwa sasa wanajirahisisha sana?
 
Kila nyakati na kitabu chake, kwa sababu ilikuwa hivyo zamani ndo wafanyaje sasa? Huu ndo wakati wao, waache wafanye mambo yao ili na wao wakiwa wazee wapambane na vijana wa wakati wao!
 
Hao wa unangapi wana daraja lao na wanaokupa kwa ridha yao bila kutaka chako pia wana daraja yao nadhani una wachanganya kunatofauti kubwa baina ya wawili hao....
 
Mimi ilikuwa nikikubaliwa inabidi niende kwao night kali halafu tumepatana kuwa ajifunge kamba mguuni au mkononi halafu aitolee dirishani kwa hio nikifika pale kama saa nane fulani hivi navuta ile kamba na akishtuka anajua ndio kidume chake kimefika ila first time lazima uvizie akitoka kujisaidia night ndio uanze kibarua cha kutangaza sorry kutongoza

umesema kweli kabisa siku hizi ndo kwanza anampigia simu waonane wakati ameketi na baba yake mzazi bila woga wowote ule
 
Unajua kila zama.......sasa hawa wa zamani (ya huyu bwana) walikuwa wanatumia S L P, sisi tunatumia blutooth....wapi na wapi.
Naweza nikakutongoza wakati umekaa na mmeo meza moja mnakunywa kahawa.
Hapana umeenda mbali... nina maana hio hio kutongoza, which has evolved in miles siku hizi.... A lot of signs rather than juhudi needed...
 
Siku hizi mambo mengi,, Watu wapo busy kusaka mshiko so kutongoza kwa kuhangaika muda mrefu kumeshapitwa na wakati,, siku hizi sister duu akileta pozi tu anapotezewa watu wanarudi kwenye resi za kusaka mshiko, na hasira hizi za vijana zimewafanya wadada wawe warahisi sababu anakuta mtu yupo tight ana muda wa kupoteza kwenye kutongozana kila siku

huu utandawazi umetufanya tuishi kama mbele.. enzi hizo watu wapo vijijin hamna shughuli za kufanya zaidi ya kushinda kila siku unambembeleza msichana kisimani, but kisasa kuonana kwenyewe juu kwa juu tena wekend nani atakubali kupoteza muda kutongoza kwa muda mrefu,,
kwanza hata wadada wenyewe wanajilengesha wakishaona hapa kuna uhakika wa maisha, so no skills is more needed to get a lady than life assurance
 
zamani wakati tunakua ilikuwa ukitaka kumtongoza msichana unatumia muda mrefu na wakati mwingine njia mngumu sana mpaka umuweke kwenye himaya yako. Kwa mfano kama unakaa kijijini unaweza kwenda kwenye kisima cha ktekea maji na kuomba muongee naye japo kidogo au hata kuongea unashindwa una mpa barua ya kumtaka mapenzi. siku ya siku akikukubalia ilikuwa kazi kweli kuvua nguo lazima uwe na nguvu za ziada ndipo uweze kufanikiwa; Vijana wa siku hizi wala hawana shida kabisa akikutana na msichana anamwambia oyaa huo mzigo utatoa na binti anamjibu kiulaini kabisa kwani wewe una shilingi ngapia halafu anatoa mzigo.

Babu zamani wanawake walifundishwa kudengua
Siku hizi mwanamke akidengua ni sawa na kupiga teke bakuri la dhahabu watu tunabeba kilaini
 
Tena bila aibu anakuwambia "Baba huyu ni BF/GF wangu" na nyie wazazi mnaishia kucheka tu
umesema kweli kabisa siku hizi ndo kwanza anampigia simu waonane wakati ameketi na baba yake mzazi bila woga wowote ule
 
wa siku hizi hawana bikra sasa unategemea akatae vipi kuvua nguo, pili wasichana wa kichaga bado wanakua wagumu yaani wanasema sitaki..! Sitaki...! Sitakiii! Hadi unamvua nguo anasema sitaki..!unazama chumvini anaendelea kusema sitakii..!
 
Back
Top Bottom