JICHO LA 3
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 356
- 62
Unaowazungumzia hapa ni wale wapo kibiashara zaidi...
wa siku hizi hawa bikra sasa unategemea akatei vipi kuvua nguo, pili wasichana wa kichaga bado wanakua wagumu yaani wanasema sitaki..! Sitaki...! Sitakiii! Hadi unamvua nguo anasema sitaki..!unazama chumvini anaendelea kusema sitakii..!
we unayo...
kweli kabisa wasichan wanajiachia sana siku hizi.Ngomo nafikiri tatizo lipo pia kwa wanawake wanaotongozwa sasa....
kweli kabisa wasichan wanajiachia sana siku hizi.
Dunia imekwisha,enzi zetu mambo hayakua hivi!!
Dunia imekwisha,enzi zetu mambo hayakua hivi!!
kuna mchangiaji kasema wanawake hasa tuseme wasichana walikuwa wachache. Lakini pamoja na hilo kumpata mtoto wa kike anazurura au yuko tayari kudaka wanaume ilikuwa kitu ambacho ni sawa na hakuna hasa vijijini. Imagine maeneo kama Mafia hata mashuleni kumkuta msichana anasoma baada ya kuvunja ungo ilikuwa haiwezekani. Nakumbuka alikuwepo mzawa msichana darasa la nne alikuwa akiitwa punguani. Sijui atakuwa wapi saa hii - hiyo ilikuwa miaka ya 60.Kuna toauti kati ya kutongoza na kununua...
Jamaa anaongelea kununua.
Labda tuseme wa zamani walikuwa hawauzi.
Hapana, hakuna sababu ya ku complicate na istoshe nao wanataka pia kwani sio binadamu?inamaana wanawake wanao tongozwa sasa wanajirahisisha sana?
wa siku hizi hawana bikra sasa unategemea akatae vipi kuvua nguo, pili wasichana wa kichaga bado wanakua wagumu yaani wanasema sitaki..! Sitaki...! Sitakiii! Hadi unamvua nguo anasema sitaki..!unazama chumvini anaendelea kusema sitakii..!