Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,096
- 22,824
Ni kweli huko ulipo ni mbali sana kwangu mimi kurejea tena.
Maana ninarudi vipi tena kukaa kwa wazazi au shemeji nimenyanyua miguu juu nawaza episodes na movie mpya zinatoka lini. Nakula chakula ambacho sijanunua, naoga maji ambayo sijalipia bili yake na kutumia umeme ambao sijui nani kanunua........plus kununua bundle kwa hela ya chenji inayobaki baada ya kutumwa dukani....
Huko mimi kweli siwezi kufika tena bwana mdogo maana nimeshatoka.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]