Yaani ukisikia story za vijana wa sasa unaweza kucheka japo inasikitisha sana, yaani vijana wa sasa wakipiga vitatu utakuta anasimulia wenzake eti kapiga show ya kibabe akati kwa umri wetu wa 35+ hizo goli 3 tunaona mechi ya kawaida tu.
Sie wakati wa ujana unapiga 5-7 hadi mwanamke anakukimbia kitandani analala chini, tatizo lenu vijana wa mnapenda sana machips kama wadada ndo maana mnakuwa mdebwedo.
Niwaibie siri tu vijana wanawake wanapenda sana dushe na hili ndo hufanya wawe wavumilivu sana ndoani, mnadhani kwa nini ndoa za sasa hazidumu? hazidumu coz huko ndani hamna show za maana zitakazowafanya waendelee kuvumilia.
Wito wangu niwaombe mbadilishe life style ya vyakula itawasaidia sana kuwa imara.