Vijana wa Mwalimu Nyerere sasa wameamua kusimama na kusema imetosha!!!

Mkuu Mimi nimemsikia na Masatu Wasira,amenena kwamba,ili uwe MZALENDO wa kweli lazima ujue historia ya nchi imetoka wapi,kwa maana lazima utambue waliyoyafanya waliokutangulia,siyo kubaki kusema naifia nchi.Wasira anasema nchi ipi wakati hata hujui nchi ilikotoka.
wasira kumbe bado anapumua?
 
Acha ' Kuwagombanisha ' na ' Kuwafitinisha ' Wazee waliokuwa ' Wasaidizi Waandamizi ' wa Hayati Baba wa Taifa kuanzia hawa uliowataja hapa na wengine ambao yawezekana ukawa huwajui au umewasahau pia dhidi ya Mheshimiwa Rais wa Awamu ya Tano hii yake Ndugu Dkt. John Pombe Magufuli eti kwakuwa tu leo hii Rais wenu Mstaafu Kikwete ' yamemtoka ' maneno ambayo nyie ' Wanafiki ' na Watu wenye ' Chuki ' mnalazimisha ' Kutuaminisha ' na ' Kuwaaminisha ' Watu kuwa kwa 100% amemlenga / alikuwa anamlenga Rais Dkt. Magufuli.

Sasa labda tu leo hii nikusaidie kama kuna Rais ambaye aliwachukia tena wazi wazi hao Wazee wako tajwa hapo ( waliokuwa Wasaidizi Waandamizi wa Hayati Baba wa Taifa ) na hata hakuipenda Taasisi yenyewe ya MNF sema alilazimika tu Kuihudumia kwakuwa aliona Aibu kuwa kwanini asiisaidie wakati akina Museveni, Kagame, Rais wa China na hata Serikali ya Afrika Kusini zinaisaidia na kuilea mno hiyo Taasisi alikuwa ni huyu huyu Kikwete wenu ambaye leo hii ' Kiunafiki ' kabisa mnajifanya Kumuona Mtu muhimu Kwenu wakati ' Kiuchambuzi ' Yeye ndiyo amechangia ' Kuiharibu ' kabisa Tanzania hii kiasi cha hadi kumpa wakati mgumu Rais Dkt. Magufuli wakati wa Kampeni mwaka 2015 kwani kila alikokuwa akipita alikuta akiambiwa kuwa CCM haitakiwi na ndiyo maana kuna muda aliamua kubadili upepo na kusema kuwa Chagua Magufuli na akaiacha kwa muda ile ' Slogan ' ya Chagua CCM kitu ambacho kilimsaidia Kuaminika na Kukubalika na Watanzania wengi hasa ikizingatiwa kuwa rekodi yake ya Kiutendaji katika Wizara alizopita zilikuwa ni nzuri na alikuwa ni Mtu Mchapakazi kweli kama alivyo sasa kama Rais wetu Kipenzi kabisa.

Na kwa usichokijua sasa ni kwamba hakuna Watu ambao Ushauri wao unasikilizwa vyema hadi kwa haraka na Rais wa sasa JPM kama hao Wazee akina Joseph Butiku, Jaji Mstaafu Joseph Warioba, Mama Maria Nyerere na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mzee Benjamin William Mkapa bila kuwasahau na wengineo ambao kwa pamoja walipata kuwa Watu Waaminifu kabisa na Wasaidizi wazuri wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Na ni juhudi za hawa hawa Wazee ( Pro Mwalimu Nyerere ) ndizo zilimfanya Rais JPM afanikiwe kule Mkutanoni Dodoma hasa baada ya Kugundua ' Janja ' ya Kikwete na Genge lake la ' Wanamtandao ' na ' Mafisadi ' ambao waliitaka hii nchi ili waendeleze ' Uhuni ' na ' Uswahili ' wao lakini alishindwa na hao Wazee wachache tu ila wenye Akili, Mbinu, Mikakati na Maarifa mengi huku pia baadhi yao wakiwa wameiva vyema ' Kiujasusi ' na si tu kwamba wanasifika bali pia wanaogopeka kwa hiyo Fani.

Ngoja niishie hapa ili nikuache uendelee Kuwadanganya Watu hapa Mtandaoni na ' Propaganda ' zako za ' Kipuuzi ' sana.
umepoteza mda kuandika comment ya kijinga mda huo bora ungekuwa unamuhudumia ata mmeo au mkeo
 
Huwa una tatizo gani? Hauonekaniki kuwa ni mtu ambaye ni knowledgeable or even thoughtful lakini ma posts yako yamejaa pomposity na grandiosity kwa level ya SGR! Nini shida
 
Kati ya hao vijana kuna mmoja.alishawahi kuchapwa viboko na mwalim, wakati nyumba zinauzwa yeye alikuwa na wadhifa gani? Hakujua kwamba nyumba zinauzwa? Sifa zingine za kipuuzi Sana. Je huyu wa sasa alisimamia mikataba mibovu ya madini? Nyie ndio mmesababisha hadi tumefika hapa iwe Kwa heri au kwa shari kama hukuhusika basi umetumwa
Hao hawakugawa nyumba za serikali kwa mchepuko au ndugu kama njugu!

Jiwe ni fisadi nyangumi!!!
 
Nafurahi kuona ukiwaelimisha Wavivu wa Kufikiri ( Majuha Waandamizi ) Ndugu. Please just keep it up hadi waelimike kabisa.

Cc: Missile of the Nation, EvilSpirit, Oumuamua, kurlzawa
 
umepoteza mda kuandika comment ya kijinga mda huo bora ungekuwa unamuhudumia ata mmeo au mkeo

Naona uwepo wako hapa JamiiForums haujulikani haraka na ' Members ' hadi usafirie Nyota Kali na ' iliyobarikiwa ' kisawasawa na Mwenyezi Mungu ya An Eagle alias BRAINIAC.
 
Yoooote haya jomba uliyoaandika yanatusaidiaje kuelekea kwenye uchumi wa kati

Ndugu nakuomba sana Radhi kuna ' post ' nimekuandikia Wewe Kimakosa ambayo nilikuwa namjibu ' Member ' mwingine Mpuuzi Mpuuzi hivi. Samahani kwa Usumbufu wowote uliojitokeza Ndugu.
 
Nyerere hana vijana wanaondekeza ufisadi
Acha magufuli awanyooshe

Ukiona wanalia ujue maslahi yao yameguswa

Walizoea kula wao tu
Sasa Magufuli amefanya raslimali zetu ni kwa kila Mtanzania wameanza kununa

Magufuli usiyumbe Baba
Umemjibu vizuri sana. Kama ni vijana wa Nyerere mbona Nyerere amekufa akiwa ha ukwasi mkubwa lakini hao vijana wana ukwasi wa kutisha
 
Mkuu Mimi nimemsikia na Masatu Wasira,amenena kwamba,ili uwe MZALENDO wa kweli lazima ujue historia ya nchi imetoka wapi,kwa maana lazima utambue waliyoyafanya waliokutangulia,siyo kubaki kusema naifia nchi.Wasira anasema nchi ipi wakati hata hujui nchi ilikotoka.
Dongo kwa Tundu lisdu
 
Hakuna mlarushwa zaidi ya Magufuli. kamuulize MV bagamoy kapiga ngapi? kamuulize uwaja wa chato umejegwa na makandarasi gani ? kamuulize mpya wake anafanya nini banki kuu? kaumulize zele hala anazo tembea nazo kwenye ziayara zake kazitowa kwenye fungu gani la bajeti? ukisha pata majibu, mulize pia ile trillion 1.5 aliitumia wapi? pia muulize kwa nini anazuwia taarifa za serikali kuwa wazi?
 
Hao hawakugawa nyumba za serikali kwa mchepuko au ndugu kama njugu!

Jiwe ni fisadi nyangumi!!!

Wewe ulikuwepo enzi ya Urais wa Kikwete na Membe akiwa Waziri wake? Kuna wakati nchi hii imeibiwa kama wakati huo? Enzi hizo ndio kulikuwa na kushamili kwa biashara ya madawa ya kulevya, biashara ya haramu ya nyara za serikali ikiwemo uuzaji wa wanyamapori, kushamili kwa magendo kule bandarini ambako HOME SHOPPING CENTRE walikuwa wanaingiza maelfu ya containers ya bidhaa bila kulipa kodi!!! Kikwete hana moral authority ya kukosoa utawala huu ingawa JPM kama viongozi wengine ana mapungufu yake.

Membe kumuweka kwenye kundi hilo la wakina Warioba sio sahihi kwani wakati wa mwalimu Membe alikuwa karani mdogo sana huko usalama wa Taifa akibeba mikoba ya Dr. Hassy Kitine!!! Ungewataja wakina Jenerali Ulimwengu, Nsa Kaisi ,Njeru Kasaka na Juma Mwapachu ungekuwa sahihi!!!
 
Acha ' Kuwagombanisha ' na ' Kuwafitinisha ' Wazee waliokuwa ' Wasaidizi Waandamizi ' wa Hayati Baba wa Taifa kuanzia hawa uliowataja hapa na wengine ambao yawezekana ukawa huwajui au umewasahau pia dhidi ya Mheshimiwa Rais wa Awamu ya Tano hii yake Ndugu Dkt. John Pombe Magufuli eti kwakuwa tu leo hii Rais wenu Mstaafu Kikwete ' yamemtoka ' maneno ambayo nyie ' Wanafiki ' na Watu wenye ' Chuki ' mnalazimisha ' Kutuaminisha ' na ' Kuwaaminisha ' Watu kuwa kwa 100% amemlenga / alikuwa anamlenga Rais Dkt. Magufuli.

Sasa labda tu leo hii nikusaidie kama kuna Rais ambaye aliwachukia tena wazi wazi hao Wazee wako tajwa hapo ( waliokuwa Wasaidizi Waandamizi wa Hayati Baba wa Taifa ) na hata hakuipenda Taasisi yenyewe ya MNF sema alilazimika tu Kuihudumia kwakuwa aliona Aibu kuwa kwanini asiisaidie wakati akina Museveni, Kagame, Rais wa China na hata Serikali ya Afrika Kusini zinaisaidia na kuilea mno hiyo Taasisi alikuwa ni huyu huyu Kikwete wenu ambaye leo hii ' Kiunafiki ' kabisa mnajifanya Kumuona Mtu muhimu Kwenu wakati ' Kiuchambuzi ' Yeye ndiyo amechangia ' Kuiharibu ' kabisa Tanzania hii kiasi cha hadi kumpa wakati mgumu Rais Dkt. Magufuli wakati wa Kampeni mwaka 2015 kwani kila alikokuwa akipita alikuta akiambiwa kuwa CCM haitakiwi na ndiyo maana kuna muda aliamua kubadili upepo na kusema kuwa Chagua Magufuli na akaiacha kwa muda ile ' Slogan ' ya Chagua CCM kitu ambacho kilimsaidia Kuaminika na Kukubalika na Watanzania wengi hasa ikizingatiwa kuwa rekodi yake ya Kiutendaji katika Wizara alizopita zilikuwa ni nzuri na alikuwa ni Mtu Mchapakazi kweli kama alivyo sasa kama Rais wetu Kipenzi kabisa.

Na kwa usichokijua sasa ni kwamba hakuna Watu ambao Ushauri wao unasikilizwa vyema hadi kwa haraka na Rais wa sasa JPM kama hao Wazee akina Joseph Butiku, Jaji Mstaafu Joseph Warioba, Mama Maria Nyerere na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mzee Benjamin William Mkapa bila kuwasahau na wengineo ambao kwa pamoja walipata kuwa Watu Waaminifu kabisa na Wasaidizi wazuri wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Na ni juhudi za hawa hawa Wazee ( Pro Mwalimu Nyerere ) ndizo zilimfanya Rais JPM afanikiwe kule Mkutanoni Dodoma hasa baada ya Kugundua ' Janja ' ya Kikwete na Genge lake la ' Wanamtandao ' na ' Mafisadi ' ambao waliitaka hii nchi ili waendeleze ' Uhuni ' na ' Uswahili ' wao lakini alishindwa na hao Wazee wachache tu ila wenye Akili, Mbinu, Mikakati na Maarifa mengi huku pia baadhi yao wakiwa wameiva vyema ' Kiujasusi ' na si tu kwamba wanasifika bali pia wanaogopeka kwa hiyo Fani.

Ngoja niishie hapa ili nikuache uendelee Kuwadanganya Watu hapa Mtandaoni na ' Propaganda ' zako za ' Kipuuzi ' sana.
Mbona umeandika kama unakaribia kujinyonga? Ungetulia ungeweza hata kueleweka kidogo!
 
Ni kweli Kikwete muda vote wa URAIS wake hakupenda kumtukuza Mwalimu Nyerere kwa kujidanganya kuwa nae alikuwa na uwezo wa kuweza kufunika umaarufu wa Mwalimu!!! Hakuwasaidia sana Mwalimu Nyerere Foundation kama walivyotegemea lakini kwa sababu ambazo hata mimi namuunga mkono; kama nakumbuka sahihi Mwalimu Nyerere Foundation walikuwa ndio secretariat ya usuluhishi wa mgogoro wa Burundi wakiongozwa na marehemu Nelson Madiba Mandela; viongozi wa taasisi hii walitutia aibu sana kama nchi kwani kulitokea upotevu wa fedha nyingi kiasi kwamba ilibidi secretariat hiyo ihamishiwe nchi nyingine!!! Kikwete na serikali yake ilibidi wafidie upotevu wa fedha hizo.

Kikwete hakuendelea kuwasaidia MNF kutokana na ufisadi uliokuwa umekubuhu katika taasisi hiyo ambayo imegeuzwa kama SACCOS ya familia!!!

Sio sahihi kuwaweka wazee wote hawa katika kundi moja la watu waadilifu; kila mmoja wao ana mapungufu yake na sio wote ni waadilifu hivyo ni lazima kuyapima maneno wanayotamka kujua yana lengo gani.

Mwalimu Nyerere Foundation ilianziswa kabla ya Nelson Mandela Foundation lakini foundation ya Madiba ina maendeleo zaidi kuliko hii ya Mwalimu; je kuna sababu za msingi kwanini iwe hivyo? The Madiba foundation does not depend on government subsidies, why should the mwalimu foundation criticize Kikwete's government for not helping it financially?
 
Nyerere hana vijana wanaondekeza ufisadi
Acha Magufuli awanyooshe

Ukiona wanalia ujue maslahi yao yameguswa

Walizoea kula wao tu
Sasa Magufuli amefanya raslimali zetu ni kwa kila Mtanzania wameanza kununa

Magufuli usiyumbe Baba
Hivi yule wazir mwizi aliyenunua kivuko kibovu na kupiga hela kubwa yuko wapi siku hizi?
 
Back
Top Bottom