Vijana wa kiume na pesa

Haijawahi kuwa furaha kwa yeyote atoaye pesa na kumpa mwenzake, iwe kuhonga, kulipa deni etc. Zile noti au tarakimu zinanoga kuziona zikiongezeka na sio kupungua
 
Fact mkuu, nimeichukua hii
 
Kabisaaa japo mnapokua marafik kuna vitu mnashare na sometimes inafika stage mnakopeshana kutokana na tatizo LA mtu Ila why wanaume wanakua wagumu kurudisha pesa au wanatuchukulia poa hatuwez wafanya chochote
Kila mtu akomae na pesa yake basi hivyo tu.pesa uleta uadui kwa mtu asiestaarabika
 
Hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke labda useme hao wote ni ma x wako
Urafik upo inategemea mtu na mtu, na jins mnavyoelewana na damu zenu kuendana kuna best angu mmoja nimempotezea ila bado nampenda sna nikikumbuka vituko vyake nammiss sna ila ndo hivyoo pesa imeleta uadui kat yetu
 
ukitaka urafiki mwema, usikopeshe bali kama una imani gawa buree
Iman sina mkuu, hao matajir wenyewe hawagawi bure wanakupa kaz ufanye ndo upate pesa, sasa nyie vijana tabia hiyo ya kupenda kupewa buree bila kutoa jasho mmeitoa wap
 
Daaah yaaah unajisifia unahongwaaaaa, kwnn lakin nyie vijana mbona wanaume mnapotea kwa kasi sana tunabak na vijana wanao tupasua vichwaaaa
Dada unalalama kwa 100k na 30k?? Mwenzako ndani ya 3months nshamla zaid ya 7m na hata hana habr mke wa mtu mtarajiwa ananimwagia cash tu. Soon nadaka ndinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…