Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,035
- 6,907
Kikubwa tuwahimize wafanye Kazi zozote hakuna Kazi ya mwanamke au mwanaume.Sana, then kama hatuzibi UFA tunakwenda kujenga ukuta siku si nyingi, coz tumeandaa kina mama kwa muda wa kutosha ila vijana wakiume wamesahaulika, sasa mama akishakuwa na nguvu economical, social, na hata kifikra ni ngumu mwanaume kukubali hiyo hali kutokana na nature
Nature inataka mwanaume awe na nguvu kiuchumi, kifikra na kimawazo alafu mwanamke awe kawaida ili maisha yaende
Dunia tunayoelekea ni kinyume chache, sasa tayari TAASISI ya familia inaharibika kuanzia kwenye Mizizi yake
Kama kuuza mboga uza,kufanya mgahawa fanya,kuchoma mahindi fanya maana wadada wanafanya Kazi zote ambazo wanaume wanafanya pia