Vijana wa Kitanzania mpo tayari kuwapokea hawa wanawake

Born identity hao,wamemaliza kazi huko ISIS sasa wañawatafuta masalia wa ISIS sehemu nyingine duniani alafu Serikali yao inajifanya kuwakana,hahahaa
 
Hoda muthana wa Alabama na Shamima mabinti wadogo sana waliokuwa majiunga na kikundi cha ISIS wakitokea nchi za magharibi,baada ya ISIS kuvunjika wanaomba kurudi nchini kwao ila nchi zao wamekataa kuwapokea ,mfano Uingereza inasema inamfutia uraia Shamima

Je vijana wa kibongo mpo tayari kuchukua mizigo hiyo ili mkaanzishe familia na watoto wa kizungu?View attachment 1027664View attachment 1027666

Sent using Jamii Forums mobile app
Trump + Mike Pompeo wamegoma kuwapokea. Wazazi wake ni watu wenye asili ya Yemen. Aliondoka bila kufuata taratibu . Aendelee na ugaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoda muthana wa Alabama na Shamima mabinti wadogo sana waliokuwa majiunga na kikundi cha ISIS wakitokea nchi za magharibi,baada ya ISIS kuvunjika wanaomba kurudi nchini kwao ila nchi zao wamekataa kuwapokea ,mfano Uingereza inasema inamfutia uraia Shamima

Je vijana wa kibongo mpo tayari kuchukua mizigo hiyo ili mkaanzishe familia na watoto wa kizungu?View attachment 1027664View attachment 1027666

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao bado wako kazn wanataka kutekeleza mashambulio. ...
Magaidi achana nao kabisa ni hatar mno
 
Back
Top Bottom