Vijana wa Geita wasipuuzwe

Vijana wa Geita wasipuuzwe

This is a very sensible and appropriate statement.
 
Matusi ya nini tena kamanda! Hata hivyo haya matusi yako ya kizamani sana hauna matusi mapya.

Hawa vijana ni Bavicha kwa nini wanalazimisha kwenda Ikulu kuonana na rais kwa nini wasiende Ufipa kuonana na Dr.Slaa.

Njoo na matusi mapya.
Kwani vijana wa bavicha hawana haki ya kuonana na rais??!
 
Matusi ya nini tena kamanda! Hata hivyo haya matusi yako ya kizamani sana hauna matusi mapya.

Hawa vijana ni Bavicha kwa nini wanalazimisha kwenda Ikulu kuonana na rais kwa nini wasiende Ufipa kuonana na Dr.Slaa.

Njoo na matusi mapya.

Siungi mkono matusi lakini hujaona aibu kuamini kuwa vijana wa BAVICHA hawana haki ya kuonana na rais wa nchi yao kama watahitaji kufanya hivyo?
 
Hawamtambui rais ila wanaenda kutaka kumuona, jambo gani lililoshindikana levo (level) zote za uongozi mpaka litatuliwe na mkuu wa nchi? Je wameweka ahadi ya kumuona ama ?
 
Kama wao kama wewe. Hawana lolote. Mimi niko Geita kwani tumewatuma. Kiherehere Chao tu. Warudi Geita wakalime kabla YA msimu wa mvua haujaisha.

Hauwezi kuwatuma kwasababu hauna chakuwatuma,hivi hicho kilimo unachojua wewe kwa hapa Tz kimeanza leo? Kimemnafaisha mtanzania gani? Au unajuaje kama kwenye hoja zao swala la kilimo halimo?.Haya wewe lima ili uache kujikomba nakulamba viatu vya mafisadi i
 
Siungi mkono matusi lakini hujaona aibu kuamini kuwa vijana wa BAVICHA hawana haki ya kuonana na rais wa nchi yao kama watahitaji kufanya hivyo?
Hivi kila mtanzania akitaka kwenda Ikulu kumuona rais itakuwa salama kweli.
 
Hivi kila mtanzania akitaka kwenda Ikulu kumuona rais itakuwa salama kweli.

Upo myopic!! na sio kosa lako. Hawajavamia Ikulu. Walitakiwa kuambiwa wana haki na utaratibu uandaliwe ili wamuone. Sio harassment tunayoiona. Wake up! ushabiki unaokosa akili sio mzuri
 
Hivi kila mtanzania akitaka kwenda Ikulu kumuona rais itakuwa salama kweli.

hii ndo akili yenu ccm
26.jpg
 
Hizo nguvu walizotumia kutoka Geita mpaka Dar es Salaam wangetumia kwenye kilimo cha mahindi na pamba wangepata mavuno mengi sana.

Wewe umetumia nguvu kiasi gani kupata mavuno uliyopata? Acha kashfa kwa masikini wa Tanzania.
 
hivi hawa jamaa wameishia wapi? mbona hatujui kinachoendelea wadau. Yeyote mwenye updates please
 
Hizo nguvu walizotumia kutoka Geita mpaka Dar es Salaam wangetumia kwenye kilimo cha mahindi na pamba wangepata mavuno mengi sana.

na wewe unapoteza muda mwingi kwenye vibaraza vya kahawa....ungeutumia muda huo kuwekeza kwenye nguvu kazi tungekuwa Singapore ya East Africa....
 
Hizo nguvu walizotumia kutoka Geita mpaka Dar es Salaam wangetumia kwenye kilimo cha mahindi na pamba wangepata mavuno mengi sana.

Hii protest waliyoifanya ina manufaa makubwa kuliko mahindi. Huwezi ona hili kwani upeo wako wa kufikiri ni mdogo sana
 
Acha bangi wewe,unafikiri muda wote ni kulima tu? Walime,umewaandalia soko la pamba na mahindi? Serikali imewazuia kuuza nje at the same time wameua viwanda vya nguo unategemea nini? Peleka huko upuuzi wako
Hizo nguvu walizotumia kutoka Geita mpaka Dar es Salaam wangetumia kwenye kilimo cha mahindi na pamba wangepata mavuno mengi sana.
 
Our country is going through hell, and these three guys are protesting against evil doings. It doesnt matter how they protest, the important thing here is that they are doing what every tanzanian should have done. Well done guys!
 
Hizo nguvu walizotumia kutoka Geita mpaka Dar es Salaam wangetumia kwenye kilimo cha mahindi na pamba wangepata mavuno mengi sana.

Inaonekana kizazi hiki kinasahau historia ya nchi hii mapema sana!

Je mmesahau ni Mwl. Nyerere aliyeongoza matembezi ya aina hii (naye alitembea kwa miguu) kutoka kijiji Butiama, kupita Bunda, Lamadi, Magu hadi Mwanza? Au mmesahau lile kundi la vijana kutoka Arusha lililotembea kwa miguu hadi Dar es Salaam kama ishara ya kuunga mkono AZIMIO LA ARUSHA?

Mnataka kutuaminisha kuwa matembezi haya hayakuwa na maana zaidi ya kilimo cha mahindi!
Vijana hawa wasipuuzwe, bali wasikilizwe
 
Back
Top Bottom