VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
They are ready and committed. They are serious. Not joking. Kutembea tu toka Geita hadi Dar si jambo dogo. Vijana hawa wasikilizwe na Rais wanayetaka kumuona. Wanayo haki ya kumuona Rais kama aliyo nayo Diamond,Ray C,Idriss,Hashim Thabit na watanzania wengine.
Vijana wa Geita wakamatwe,wahojiwe,waelezwe taratibu,wafokewe na kutishwa lakini wamuone Rais Kikwete. Wasipuuzwe. Wana hoja za wanaGeita. Wana hoja za wananchi wa Geita ambao wasingeweza kutembea wote kuja Dar.
Vijana hawa wakejeliwe,wasifiwe,wahojiwe,wachorwe na kutangazwa lakini wamuone Rais Kikwete. Vijana watatu wa Geita wasipuuzwe. Hivi wote waliokwenda Ikulu walitoa taarifa kwa Mkuu wa Wilaya au Mkoa? Wasipuuzwe. Wamuone Rais kumueleza hoja zao.
Wakipuuzwa, watatumiwa...Geita na Tanzania nzima!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam