Vijana wa enzi zile

Write your reply...daah sasa na nyie wahenga mlikuwa mnabambiana kama sie au??
 
Sky Eclat huwezi amini 92 nilikuwa mhenga ila mambo yalikuwa mengi. Nilikuwa ofisi ambayo kutoka shida na bara hivyo yalinipita. Nakumbuka nilikuwa nikienda Dar nawapeleka watoto wa dada na wa kwangu Kibisa pale Magomeni. Kulikuwa na waigizaji wanachekesha na ngoma pia.
 
Wale wachekeshaji wa Kibisa wengine ni kama Mzee Majuto (marehemu), Bi Chau na marehemu mzee Small.

Hapa mimi nilikuwa chuo ndiyo damu inachemka. Billicanas ndiyo imefunguliwa kutoka Mbowe Club.
 
Wale wachekeshaji wa Kibisa wengine ni kama Mzee Majuto (marehemu), Bi Chau na marehemu mzee Small.

Hapa mimi nilikuwa chuo ndiyo damu inachemka. Billicanas ndiyo imefunguliwa kutoka Mbowe Club.

Kibisa ilikuwa terminology. Unakuta mtu anamwambia mwenzake: "naenda Kibisa cha Muungano" akimaanisha anaenda maonesho ya Muungano Cultural Group.
 
92 Niko F6. Mkuu wewe kweli Mhenga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wachekeshaji wa Kibisa wengine ni kama Mzee Majuto (marehemu), Bi Chau na marehemu mzee Small.

Hapa mimi nilikuwa chuo ndiyo damu inachemka. Billicanas ndiyo imefunguliwa kutoka Mbowe Club.
Nilienda mara moja Billicanas wakati wa kurudi na mme wangu tukakamatwa eti mimi changu, wee nilizikunja na mjeda mpaka wenzei wakaingilia kati. Afande katukuta tunazikunja huku mme wangu anatutenganisha. Baada ya kuonyesha kitambulisho yule mjeda aliwekwa kwenye kalandinga that was the first and last time.

Imagine umetoka bara unakuja kuzipiga Dar!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…