Vijana wa CHADEMA Tunduma wamechachamaa

mzee ameshika mkasi wake tayari kwa kukata utepe.....kazi zingne hiz


yaani hapo siku imeingia. Anaacha kwenda Songea kutafuta suluhu ya mauaji. Anaenda kufungua masoko. Ajabu Soko lenyewe hata mlango hakuna sasa sijui anafungua nini!!!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Mi sielewi shughuli za chama na serikali hazitengwi.......leo kutachimbika.......\tunduma wananchi wamejenga \soko lao wenyewe kwa kuchangishana baada ya kuungua leo anataka sifa bilal ataijua tu leo \tunduma

CCM matahira kumbe ni soko la wananchi kwa nini sasa wanatotoa bendera zao,jamani haki iko wapi,huyo bilali ambiwe kabisa kazeeka atakimbia kweli wenye soko wakikataa yeye asifungue
 
Wafanyabiashara wanawake tunduma wametishia kumvua nguo kiongozi wa mkoa, ni shinikizo ili bilali asihutubie, kwani ni siku pili hawajafanya biashara, wanashangaa bilali anaenda kufanya nini tunduma wakati huko kuna vijana watupu wanasaka hela, wamechanga fedha wakajenga soko, bilali wa nini kwenye kufungua soko laoooo! ameambiwa kule hakuna wana ccm, amebebeshwa furushi la mavi, atafute mahali pa kulibwaga, tunduma NO!!!!!!!!!!
 
Hv ili jeshi lina watu timilifu kweli?bendera za cdm zina athari gani kwa makamu wa rais?mbona wanachanganya dola na chama?si watamke wazi wao ni tawi la c.c.c.c.cm?wanajenga taswira gani kwa watanzania juu ya ili jeshi?hii wananchi kuvimbiana vifua na polisi,mara manung'uniko yenye maandamano mara kupigwa mawe viongozi inaota usugu,muda si mrefu mambo yanaweza kuja haribika na wote tukajuta kwa nini taadhari na kuheshimiana hakukuwepo mapema!
 
Juzi kafungua shule ya Korongwe huko Nkasi haina milango, aibu!
 
Tukilianzisha watasema CDM niwapenda vurugu nk...Bilal ni nani mpaka wakate mlingoti au wang'oe bendera za chama bana? Huu ****** wa CCM na serikali yake una mwisho.Na hii nchi ikikaa mikononi mwetu nadhani watafute pa kukimbilia tu..tutawashughulikia perpendicular...
 
Makamu wa rais Dr. Bilal amefichwa eneo moja linaitwa Chipaka nje kidogo ya mji wa Tunduma kuhofia vurugu za wananchi eneo la Tunduma.

Makamu wa rais anataka aende kukata utepe uzinduzi wa soko jipya lililoungua wananchi wamegoma kwa vile soko lenyewe halijaisha alafu FFU wamemwagwa kushusha bendera za CHADEMA zinazo pepea kuzunguka eneo la soko la Tunduma na vitongoji vyake.

Kama kawaida ya CCM wameshusha kwenye magari wanachama wao ili kuleta hamasa wametembezewa kipigo cha mbwa mwizi na wafuasi wanao aminika ni wa CDM.

Mpaka sasa Bilal kala mingo nje ya mji anasikilizia upepo unavyo vuma Tunduma.
 
Mi sielewi shughuli za chama na serikali hazitengwi.......leo kutachimbika.......\tunduma wananchi wamejenga \soko lao wenyewe kwa kuchangishana baada ya kuungua leo anataka sifa bilal ataijua tu leo \tunduma

Dr Bilal ni makamu wa rais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ndani ya Tanzania kuna raia wengi na wafuasi wa vyama HALALI vya siasa. Hivyo DRr. Bilal ni kiongozi wa watanzani wafuasi na wasio wafuasi wa vyama vya siasa.

Sasa hao polisi wanaondoa bendera ya chama HALALI cha siasa kwa sababu zipi? Ni sheria gani inayokataza watanzania kupeperusha bendera za vyama vyao? Ingekuwa bendera za CCM polisi wangeondoa? Na kama Polisi na Dr. Bilal hawataki kuona bendera za CHADEMA kwa nini aende huko? Kwa nini asibakie Magogoni?
 
Wananchi wa Mbeya wana hasira sana na serikali ambayo sio sikivu.
Hivi kwa nini wanalazimisha mambo?
 
Saffiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sana wamezidi dharau kama yeye ni kiongozi wa kitaifa kwa nini anaangalia itikadi kwa nini wameshusha bendera wangeziacha zipepeeeee afungue soko halafu asepe
 
Nimepata taarifa toka kwa mdau aliyeko Tunduyma kuwa, kuna ratiba ya Makamu wa Rais kutembelea na kuhutubia mkutano huko Tunduma, sasa jana polisi walipita kwenye vijiwe vyote vyenye bendera za CDM na kuziondoa. sasa kilichotokea leo vile vijiwe vyote bendera za CDM zimerudi na kama haitoshi zingine zimewekwa karibu na jukwaa atakalohutubia makamu wa rais na wamesema wanasubiri kuona nani wa kwenda kuondoa bendera hizo. Mwenye taarifa zaidi atujuze wakati naendelea kufuatilia kitakachoendelea.

Sasa hao polisi kwanini wanini wanafanya kazi ya ccm halafu wanalipwa kwa kodi zeta?.Napendekeza wote kuanzia MWEMA wavue sale zetu wavae za CCM tujue kuwa ni Green guard na walipwe na chama sio kodi zetu.:A S 465:
 
MAPOLISI WAACHE KAZI YA ccm kama wanataka kazi ya chama wavue sare zetu wakavae za kijani tujue kuwa ni greenguard na walipwe na chama sio kodi zetu
 
Sasa hivi jamaa wameamua kutumia mabomu ya machozi
Wananchi wamechoka unyanyasaji huu
 
Back
Top Bottom