Vijana wa CHADEMA Tunduma wamechachamaa

Makamu wa rais Dr. Bilal amefichwa eneo moja linaitwa Chipaka nje kidogo ya mji wa Tunduma kuhofia vurugu za wananchi eneo la Tunduma.

Makamu wa rais anataka aende kukata utepe uzinduzi wa soko jipya lililoungua wananchi wamegoma kwa vile soko lenyewe halijaisha alafu FFU wamemwagwa kushusha bendera za CHADEMA zinazo pepea kuzunguka eneo la soko la Tunduma na vitongoji vyake.

Kama kawaida ya CCM wameshusha kwenye magari wanachama wao ili kuleta hamasa wametembezewa kipigo cha mbwa mwizi na wafuasi wanao aminika ni wa CDM.

Mpaka sasa Bilal kala mingo nje ya mji anasikilizia upepo unavyo vuma Tunduma.

Ni kweli tuwakatae kwa maneno na vitendo vyao
 
Saffiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sana wamezidi dharau kama yeye ni kiongozi wa kitaifa kwa nini anaangalia itikadi kwa nini wameshusha bendera wangeziacha zipepeeeee afungue soko halafu asepe

Kweli kabisa mkuu democrasia haiendi hivyo
 
silaha muhimu kwa hao wananchi ni mawe,
warushe mawe ya kutosha huyo anayetaka kufungua soko nchi ambayo si yake arudi kwao
 
heri kufa ukiamini katika fikra zinazoishi kuliko kuishi katika fikra zilizokufa. siku zote mapinduzi katika taifa lolote huletwa na watu wa chini na si wale wa tabaka la juu. Tunduma wanaishi katika fifra sahihi nawaunga mkono. Hizi sio enzi za zidumu fikra za mwenyekiti. PEOPLE ARE TIRED.
 
Laiti ccm wangejua ubabe mbele ya haki haiwezi kushinda hata siku moja basi wangeachana na ***** wanaoutendea wananchi wao
 
atakuwa ameshadondosha mkasi wake.....hahahahhaa chezeya tunduma!!
 
Hali hii inatisha wanaJF, kama Mhe Rais anatwangwa mawe na wananchi basi hakika nchi inakoelekea siyo kwema!
 
Jamani yule mtaalam wa nyuklia na ufunguzi wa soko wapi na wapi? Hizo si ni kazi za Mkuu wa mkoa tena kwa kuwakilishwa na Mkuu wa Wilaya. hawa jamaa wanaifilisi nchi yetu na magarama yasiyo na maana. Apigwe tu
 
Kwani huyo bilal ameenda kufungua hilo soko kama mwakilishi wa CCM ama Serikali?
 
kuna taarifa zimefika hapa mezan kuwa imebd makamu wa rais afichwe eneo lingine....halo si nzuri
 
Kipigeni Mawe hicho kizee! Hakina maana.

ha ha ha, sijui atakua kaandama na mkewe yule asie cheka..?? spati picha ile wameshuka watu wanaanza kurusha mawe haoo haoo kamataaa shikaaa ..sijui bi.tumbusi ana mbio?? mana naskia hiki kizee kina mbio kama ngiri
 
Mi sielewi shughuli za chama na serikali hazitengwi.......leo kutachimbika.......\tunduma wananchi wamejenga \soko lao wenyewe kwa kuchangishana baada ya kuungua leo anataka sifa bilal ataijua tu leo \tunduma

Kaaaaazi kweli kweli! yaani huyu jamaa tangu amemaliza kampeni za ugombea wenza na JK hana kazi nyingine zaidi ya kutembea na mikasi mfukoni kukata tepe za uzinduzi. Huenda mikasi yake isifanye kazi Tunduma. Jasho litamtoka.
 
Hali hii inatisha wanaJF, kama Mhe Rais anatwangwa mawe na wananchi basi hakika nchi inakoelekea siyo kwema!

Mkuu wa Kaya kashaliona hili ndo maana siku hizi anafungua bank dar na kambi za vijana huko kwao. mikoani kimeo
 
Back
Top Bottom