Vijana wa Arusha wanapenda sana Pombe.

Vijana wa Arusha wanapenda sana Pombe.

Vijana wengi arusha wanapenda sana kutumia vileo, haswa bia, wine n.k! kwa aliyekaa na vijana hawa, atadhibitisha hapa! pia mi naona pombe inawapa kukosa umakin kwa baadhi ya mambo! ni wajasiri na wakipunguza pombe ujasiri wao utaongezeka. hi! A-town

hii ni 2rue ht huku cc 2naosoma nao 2nashuhudia mf. Hp shuleni kwe2 kesi nyingi za pombe na sigara ni wao
 
Hata mimi napenda sana! Hasa Ndovu ya moto. Roho huwa inapokea sana!
 
hili jambo tulikuwa tunalizungumza leo mchana na baadhi ya rafiki zangu, kwa kweli ni ukweli kabisa ulevi kwa ujumla kwa vijana wa kaskazini(Arusha,moshi) wengi ni addicts wa vilevi, hii mada yako ingekua sio hapa chit chat labda tungeweza kujadili ni kwanini hili hii inatokea..
 
Wi-Fi, mkuu! mimi hili nimeligundua juzi, jana na leo kwa hizi siku nilizokaa hapa arusha hata vijana wa moshi wanakunywa sana pombe, hii ni kitu ya kurithishana tu! sidhani kama kuna sababu ya msingi..
 
Kusini tushaanza harakati za ukombozi wetu..
 
Ndovu za huku ni tamu sana na roho inapokea kinoma! Feel the difference.

Yaah! muda siyo mrefu nitarudi town, bado nipo hapa game lodge! na baadhi ya washkaji na wazungu wachache.
 
Dar ndiyo inayoongoza kwa wanywaji wa pombe na mirungi, ukiangalia idadi ya mateja Dar imezidi kuliko Arusha.

Vijana wa Arusha wengi wanapenda sana gombaaaa na mavirobaa kama njia ya kutoa lock au kujifariji.

Pombe kama Ndofyu kwa mujibu wa Erickb52 haina shida kama unaimudu.
 
Last edited by a moderator:
Jibu swali wangapi wamekunywa viloba kwa pesa yako?

I'm unknown here mkuu, and what i do is just an' observation! na nilichokiona ndicho nilichoandika, swala la kuwanunulia ni jingine! soma comment nyingine hapo juu...
 
Back
Top Bottom