Black Americans ni mbururazMimi sijuagi hata uzuri wa wanaume upo wapi
Ila leo hawa vijana wa Arusha nawaona wazuri sana, yani kama Mablack America flani hivi, wanavaa vizuri sana nguo org viatu vya kisure sana, haki sijakutana na mtu aliyevaa shati ya dukani.
Nawapongeza sana
Anamaanisha kuna mashati ya dukani, yale unakuta yametundikwa moja 150k ama 80k halafu kuna yale mashati ya mnadani/gulioni ambapo unakuta fungu la shati 8 linauzwa 3k. Hayo ndio watu wa Arusha wanavaa.Shati la dukani ndo lipoje na hilo lisilo la dukani lipoje?
We unapenda masela nadhani ndio passion yako.
Nakubaliana na wewe mkuu umenipa majibu sahihiAnamaanisha kuna mashati ya dukani, yale unakuta yametundikwa moja 150k ama 80k halafu kuna yale mashati ya mnadani/gulioni ambapo unakuta fungu la shati 8 linauzwa 3k. Hayo ndio watu wa Arusha wanavaa.
Mimi sijuagi hata uzuri wa wanaume upo wapi
Ila leo hawa vijana wa Arusha nawaona wazuri sana, yani kama Mablack America flani hivi, wanavaa vizuri sana nguo org viatu vya kisure sana, haki sijakutana na mtu aliyevaa shati ya dukani.
Nawapongeza sana
Hivi unawajua Blac Americans au unawasikia?Wajanja