Nyie CCM endeleeni na huu uzushi wenu na porojo ILA WATANZANIA TUTAMPIGIA KURA LOWASSA KESHOKUTWA. hatudanganyiki tenaaa....!!!
Baadhi ya viongozi wa wanafunzi wa vyuo vikuu wamekataa kutumiwa na UKAWA kwa maslahi yao kwa kuwa wamesema hawaoni faida yoyote.
Baadhi yao toka UDSM, IFM, SAUT, TUMAINI na UDOM wametoa kauli hizo wakati wa mkutano wa ndani ambao hata hivyo mtoa post alishiriki.
Je hii ni ishara kwa wanafunzi wamemkataa mamvi.

Mimi ni moja wao toka udsm tumewakataaaaa mbali na kutuambia etiiiiiiiiii watutumie nauli tuje kuwapigia kura cc tumewakataaa
Sisi vijana hatuwezi kudanganywa na mzee huyu asiye na dira wala mwelekeo. Magufuli hoyee.
NI LOWASSA TU KESHOKUTWA...hata mtunge story 1000....
mbona nyie ndio mmedanganyika. magamba ya ccm yameuziwa cdm na ndio maboss wapya wa chadema/ukawa. sijui hamdanganyiki kitu gani wakati mbowe kawageuza wapumbavu. sisi oct 25 tunamchagua mtu muadilifu na mchapa kazi john pombe magufuli. hapa kazi tu.Nyie CCM endeleeni na huu uzushi wenu na porojo ILA WATANZANIA TUTAMPIGIA KURA LOWASSA KESHOKUTWA. hatudanganyiki tenaaa....!!!
Acha kupotosha watu wewe ! Wanafunzi wote wanajua na wamechoshwa na balaa la ccm kwa upande wao .
Kumbe miaka 46 bado kijana
Eti wanafunzi wa vyuo vikuu.. nyooo. labda kama chuo kikuu unasoma mwenyewe. lakini kama chuo kikuu ni taasisi,basi usijifanye kuwa msemaji wa wanachuo.Mimi nimechoshwa na ukandamizwaji unaofanywa na utawala wa ccm.Hiyo siyo siri,tuache ushabiki usio na msingi. Anayeshabikia labda kaahidiwa ujumbe wa mtaa!