Vijana vyuo vikuu waikana UKAWA hadharani

Acha uwongo wako vijana wa kimasikini tunataka mabadiliko tumechoshwa na ccm mafisadi
 
Huyu alie andika hii habari ni mtu mwenye akili ndogo tena ndogo sana,kukana jambo ni kitu binafsi wewe kama una kana kitu sema wewe umekana,kukana tena wa wanafunzi wote si katika mambo yanayo weza kuwakilishwa na wewe
 
Baadhi ya viongozi wa wanafunzi wa vyuo vikuu wamekataa kutumiwa na UKAWA kwa maslahi yao kwa kuwa wamesema hawaoni faida yoyote.

Baadhi yao toka UDSM, IFM, SAUT, TUMAINI na UDOM wametoa kauli hizo wakati wa mkutano wa ndani ambao hata hivyo mtoa post alishiriki.

Je hii ni ishara kwa wanafunzi wamemkataa mamvi.
acha uwongo wako ww acha kutumika kuwachafua vijana wa vyuo vikuu wanajielewa hawajashikiwa akili wana akili zao hazitumiw na mtu
 
Wanafunzi wametumika sana kuwabeba CDM bila mafanikio yoyote, wamevunjwa miguu, wamepigwa mabomu ya machozi wamepata kila dhoruba lakini mwisho wa siku wanagundua kuwa CDM ni wapiga dili tu hawana dhamira ya dhati kulikomboa taifa letu kama wanavyodai

Kura zao zinakwenda kwa Magufuli J. P kiongozi shupavu aliyetukuka kwa uchapakazi, uzalendo na uadilifu
 
Baadhi ya viongozi wa wanafunzi wa vyuo vikuu wamekataa kutumiwa na UKAWA kwa maslahi yao kwa kuwa wamesema hawaoni faida yoyote.

Baadhi yao toka UDSM, IFM, SAUT, TUMAINI na UDOM wametoa kauli hizo wakati wa mkutano wa ndani ambao hata hivyo mtoa post alishiriki.

Je hii ni ishara kwa wanafunzi wamemkataa mamvi.

Ha ha ha ha ha ha nyie endeleeni tu kulipwa ila tumeshachagua kuwa LOWASA ndio RAISI
 
Baadhi ya viongozi wa wanafunzi wa vyuo vikuu wamekataa kutumiwa na UKAWA kwa maslahi yao kwa kuwa wamesema hawaoni faida yoyote.

Baadhi yao toka UDSM, IFM, SAUT, TUMAINI na UDOM wametoa kauli hizo wakati wa mkutano wa ndani ambao hata hivyo mtoa post alishiriki.

Je hii ni ishara kwa wanafunzi wamemkataa mamvi.

Kiongozi kwa kila chuo ni mmoja lakini wanavyuo ni wengi hivyo msimamo wa mmoja hauwezi kuwakilisha watu wote kwa kununuliwa kwake
 
Aliyesema Elimu bure mpka chuo kikuu huyo kazipata za Wanafunzi wa Elimu ya juu maana hawa Kupe hata Boom linachelewa wanagawiana mkopo kishikaji CCM out
 
Baadhi ya viongozi wa wanafunzi wa vyuo vikuu wamekataa kutumiwa na UKAWA kwa maslahi yao kwa kuwa wamesema hawaoni faida yoyote.

Baadhi yao toka UDSM, IFM, SAUT, TUMAINI na UDOM wametoa kauli hizo wakati wa mkutano wa ndani ambao hata hivyo mtoa post alishiriki.

Je hii ni ishara kwa wanafunzi wamemkataa mamvi.

No message, no content. Empty words.
 
Back
Top Bottom