Vijana vyuo vikuu waikana UKAWA hadharani

Chuo kikuu hawapigi kura na tume imewatenga kwa hiyo they are not poisonous to the general election.
 
Baadhi ya viongozi wa wanafunzi wa vyuo vikuu wamekataa kutumiwa na UKAWA kwa maslahi yao kwa kuwa wamesema hawaoni faida yoyote.

Baadhi yao toka UDSM, IFM, SAUT, TUMAINI na UDOM wametoa kauli hizo wakati wa mkutano wa ndani ambao hata hivyo mtoa post alishiriki.

Je hii ni ishara kwa wanafunzi wamemkataa mamvi.

Haina madhara. Vichinjio vyao wakafanyie utapeli mitaani. Hawawezi kupiga kura kwani tume haikuhamisha taarifa zao na tarehe ya kupiga kura wanachuo watakuwa likizo hivyo hawatashiriki.
 
Hii inaonyesha kwamba wasomi wetu wa leo ni parrots.Hivi msomi anawezaje ku-support CCM kama hajashikiwa akili.Inasikitisha sana.Kwenye Mkiki Mkiki wa leo nimeona some good minds for presidency. Mama Anna Mghwira was best.Independent minds would go for Mama Mghwira.Oh,my,she is so good.
Baadhi ya viongozi wa wanafunzi wa vyuo vikuu wamekataa kutumiwa na UKAWA kwa maslahi yao kwa kuwa wamesema hawaoni faida yoyote.

Baadhi yao toka UDSM, IFM, SAUT, TUMAINI na UDOM wametoa kauli hizo wakati wa mkutano wa ndani ambao hata hivyo mtoa post alishiriki.

Je hii ni ishara kwa wanafunzi wamemkataa mamvi.
 
Baadhi ya viongozi wa wanafunzi wa vyuo vikuu wamekataa kutumiwa na UKAWA kwa maslahi yao kwa kuwa wamesema hawaoni faida yoyote.

Baadhi yao toka UDSM, IFM, SAUT, TUMAINI na UDOM wametoa kauli hizo wakati wa mkutano wa ndani ambao hata hivyo mtoa post alishiriki.

Je hii ni ishara kwa wanafunzi wamemkataa mamvi.

Hapa kazi tu hatudanganyiki.
 
Hacha umalaya wewe. sisi tumefunga mpaka november, sasa wewe ume kaa na nani mpaka ulete uchangudoa wako?
 
Baadhi ya viongozi wa wanafunzi wa vyuo vikuu wamekataa kutumiwa na UKAWA kwa maslahi yao kwa kuwa wamesema hawaoni faida yoyote.

Baadhi yao toka UDSM, IFM, SAUT, TUMAINI na UDOM wametoa kauli hizo wakati wa mkutano wa ndani ambao hata hivyo mtoa post alishiriki.

Je hii ni ishara kwa wanafunzi wamemkataa mamvi.

Gamba kwenye ubora wako
Ukawa oyeeeeeeeeee
 
Mkuu Geee,huyo ni mnufaika mkubwa sana wa mfumo wa elimu ya CCM iliyokuwa na lengo la kuwafanya Watanzania mbululaz.Sasa mtu ambaye amezaliwa na uwezo wa chini kabisa wa "common sense" kama mleta uzi "and associates",inaweza chukua hata karne nzima kugundua kuwa maana ya "CCM ni ile ileee" ni "hakuna mabadiliko chanya".

Sio kila mtuma uzi awe yule uliemkusudia yaani msomi wa chuo kikuu. Anaweza kuwa hata mgonga kokoto tu kwani siku hizi smartphones inaweza kumilikiwa na yeyote yule.
 
Baadhi ya viongozi wa wanafunzi wa vyuo vikuu wamekataa kutumiwa na UKAWA kwa maslahi yao kwa kuwa wamesema hawaoni faida yoyote.

Baadhi yao toka UDSM, IFM, SAUT, TUMAINI na UDOM wametoa kauli hizo wakati wa mkutano wa ndani ambao hata hivyo mtoa post alishiriki.

Je hii ni ishara kwa wanafunzi wamemkataa mamvi.

Hao naona bado hawajajua ugumu wa kulipa mkopo wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu. Siku watakapoanza kulipa ndipo watakapojia Lowassa anaposema elimu bure kuanzia msingi mpaka chuo kikuu anamaanisha nini.
 
Baadhi ya viongozi wa wanafunzi wa vyuo vikuu wamekataa kutumiwa na UKAWA kwa maslahi yao kwa kuwa wamesema hawaoni faida yoyote.

Baadhi yao toka UDSM, IFM, SAUT, TUMAINI na UDOM wametoa kauli hizo wakati wa mkutano wa ndani ambao hata hivyo mtoa post alishiriki.

Je hii ni ishara kwa wanafunzi wamemkataa mamvi.

Wanaogopa kufukuzwa chuo tu hapo hakuna kingine
 
Baadhi ya viongozi wa wanafunzi wa vyuo vikuu wamekataa kutumiwa na UKAWA kwa maslahi yao kwa kuwa wamesema hawaoni faida yoyote.

Baadhi yao toka UDSM, IFM, SAUT, TUMAINI na UDOM wametoa kauli hizo wakati wa mkutano wa ndani ambao hata hivyo mtoa post alishiriki.

Je hii ni ishara kwa wanafunzi wamemkataa mamvi.
Kwahiyo wanakubali kutumika na nani ikiwa wamekataa kutumika na UKAWA! Maana hatukujua kuwa huwa wanatumika...msomi anaandika haya inashangaza sana.
 
Haaaaahaaaa nasikia vijana wamewekwa kazini kwa propaganda sana humu ila hamtafika popote maana baada ya ccm kuishiwa pesa ya kampeni wakakimbia kuuza hisa za tbl so wamepsta pesa wamekuja tena naomba niwaulize je hizo pesa zitarudishwaje au ndio ile hata kma ni nyasi mtakula af mbelele kwa mbele kwambele
 
Tatizo ni kwamba hata hamjui kuwa uhakika wenu wa kupiga kura haupo. CCM badala ya kushughulikia mambo ya maana ka kuhakikisha kuwa vijana hawa wanapiga kura mnajishughulisha na kueneza uongo atii; Vijana wa Vyuo wamkataa Lowasa.
Hatudanganyiki kirahisi hivyo.
Hata kama ni kusafiri, tutajisafirisha wenyewe na vichinjio vyetu tukapigie kura ya rais huko huko ila ha moto ccm mtakiona mwaka huu. Ni Lowasa tuu kwa mabadiliko
 
Baadhi ya viongozi wa wanafunzi wa vyuo vikuu wamekataa kutumiwa na UKAWA kwa maslahi yao kwa kuwa wamesema hawaoni faida yoyote.

Baadhi yao toka UDSM, IFM, SAUT, TUMAINI na UDOM wametoa kauli hizo wakati wa mkutano wa ndani ambao hata hivyo mtoa post alishiriki.

Je hii ni ishara kwa wanafunzi wamemkataa mamvi.

Mkuu vyuo vimefunguliwa?
 
Back
Top Bottom