Vijana tuungane tujiajiri

Wazo jema huwezi fanya kitu bila kuwa na kitu kwanza una elimu,una nguvu ila huna nyenzo inaweza kuwa pesa au vifaa. Kwa wanaounga mkono hoja wakubali kuchangia pesa kidogo mfungue akaunti halafu muweke malengo kila mwisho wa mwezi kila mdau achangie alichonacho na atunze risiti yake ya malipo. Pia pangeni kila baada ya mda fulani muitishe kikao kujua kama mmepata kiasi gani, ila inatakiwa muwemnaishi mkoa mmoja ili kuokoa gharama daada ya hapo chagueni mradi wa kufanya kwa umojawenu na uaminifu wa thati......
 
Me nipo Korogwe TANGA kwa sasa nafanya kilimo cha mahindi... Badae ntafanya cha umwagiliaji. Mwenye kutaka kushare ideas nk. 0763 338 830. Karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…