Vijana tuelewane kidogo

Vijana tuelewane kidogo

Aisee mnaomba hela sanaaa hadi kupitiliza.

Na ndio maana na sisi wanaume tunamega tundaa wee, hali ikizidi kuwa mbaya tunajitoa.

Na hatusemi sababu, tusijulikane tunakimbia kuhonga.
Hapo inakua bila bila
 
Kuna Umri fulani ukifika, kama kijana ni vyema utafute binti mmoja mtengeneze chemistry yenu, mjengane kimaisha katika misingi ya uwazi, ukweli, na uhalisia siku moja mje kuoana.

Ni hatari kwa kijana atafutaye maisha kuanza kurukaruka na kumangamanga huku na kule ktk mahusiano.
[emoji41][emoji41]
Ngoja nifike 35 nifikirie ilo jambo
 
Kuna Umri fulani ukifika, kama kijana ni vyema utafute binti mmoja mtengeneze chemistry yenu, mjengane kimaisha katika misingi ya uwazi, ukweli, na uhalisia siku moja mje kuoana.

Ni hatari kwa kijana atafutaye maisha kuanza kurukaruka na kumangamanga huku na kule ktk mahusiano.
[emoji41][emoji41]
Ushauri mzuri.
 
Bila bila huku kamegwa tunda limekuliwa

It different na side ya men, sisi waga hatukuliwi, bali tunakula 😁😁
Hapo tunakulana bana, maana kama ni utamu si tunapata wote.... Hauniachii kovu wala alama yoyote😛

Ni mindset tu mmejiwekea kua ukila tunda na kusepa basi mmetukomoa of which in reality unaweza kuta mdada hata hakua na mpango na wewe.
 
Kasome story ya ThaGreatman ndio utajua kuna mawili, either mjengane ama mbomoane.
Unforgetable
Kwa upande wangu jijenge kwanza ukiweza una weza kumjenga mtu pia. Ngumu sana kujengana while kila mtu ana tafta chake kwa mwenzake huyu smartphone, nywele saloon, outings, swimming wewe wife, savings, family, good ride, business. these are two different streams of people. Make urself first akukute you got ur own life. Then teacher her how you want her to live with you nigger.
 
Back
Top Bottom