Vijana nyinyi ndio mabadiliko yenyewe

Vijana nyinyi ndio mabadiliko yenyewe

Watanzania hawatakaa kimya kama dhuruma ,uuajia,utekaji ,kupoteza watu,uuzaji wa mali za Taifa,kuchezea chaguzi n.k kama vitaendelea,

Ila nyie warundi msio kuwa na uchungu na Taifa hili wala watu wake kaani pembeni tu,waacheni vijana wapambanie future yao na kama kufa watafia nchini mwao.

Hakuna mzalendo anae ogopa kufa katika kudai haki yake .

Hiyo amani mnayo ihubiri kawahubirieni wake zenu,sio watanzania
 
Wakati nipo chuo mwaka wa mwisho , tulifanya semina .

Ushauri Ambao tulipewa na lecturer ulisema hivi

"Yawezekana usifurahishwe na kinachoendelea katika nchi yako , Ila hiyo isikufanye kuwa na CHUKI kwakuwa viongozi wabaya hupita Ila nchi hubaki"

I feel so sorry ile 29/10 Kijana anachoma nchi yake kisa viongozi amabao hakubaliani nao na kusahau kuwa viongozi wabaya wanapita Ila nchi inabaki

JAMBO hili nililipokea kwa hisia Sana mpaka nikasema ,

Kama MTU mzima ninao wajibu wa kuhakikisha tunasambaza elimu ya kujitambua na kutenganisha mambo kati ya

Viongozi wabaya , nchi mbaya n.k

Nchi yetu sio Mbaya na haijawahi kuwa mbaya

KIJANA IPENDE NCHI YAKO NA USIICHOME NCHI YAKO BAD LEADERS PASS BUT THE COUNTRY REMAINS
Wewe poyoyo, viongozi wa CCM sio nchi na kuwachukuia pamoja na utawala wao mbaya uliokithiri utekaji, mauaji, ufisadi na incompetency sio kuichukia nchi, tangu umerukia huo upande ni kama sasa unafikiria kwa masaburi.
 
Mimi nipo hapa kuweka mambo sawa na kuondoa unafiki na uhuni mliofanya 29/10
 
Anza na kuimbia serikali yako iweke idadi ya watu waliouwawa, rudisheni miili ya watu ambao hawajapatikana mpaka sasa halafu mtachangiwa pesa za kurudisha kibanda cha Shilole muendelee kula ubabwa na kisamvu hapo.
 
Kama nilivyosema kuwa nyie mlijua kuwa vijana watauliwa je kwanini mliwaambia waandamane ?

Mimi sio CCM nimekuja Ku on do a unafiki wenu

Safari hii nyoka wote lazima mtoke pangoni.
 
Watanzania hawatakaa kimya kama dhuruma ,uuajia,utekaji ,kupoteza watu,uuzaji wa mali za Taifa,kuchezea chaguzi n.k kama vitaendelea,

Ila nyie warundi msio kuwa na uchungu na Taifa hili wala watu wake kaani pembeni tu,waacheni vijana wapambanie future yao na kama kufa watafia nchini mwao.

Hakuna mzalendo anae ogopa kufa katika kudai haki yake .

Hiyo amani mnayo ihubiri kawahubirieni wake zenu,sio watanzania
Hivyo ndivyo mnavyojua kufanya,kusema vijana watapambania nchi yao,halafu upo mtandaoni kwenye road huendi,tena huenda jamaa zako wa karibu unawaambia wawe makini wasiende road,ila vijana wasiojua kuchanganua mambo ambao wakijazwa hamasa kidogo tu hao kama nyumbu wanaenda kuuliwa

Hawa ndio tunawatetea sisi, hakuna tena maandamano yasiyo na dira,watu wameanza kujielewa sasa

they are not playing someone's game
 
We mpumbavu umeshazeeka subiri kufa haya mambo ni ya wanaume sio nyie wanawake
 
Hivyo ndivyo mnavyojua kufanya,kusema vijana watapambania nchi yao,halafu upo mtandaoni kwenye road huendi,tena huenda jamaa zako wa karibu unawaambia wawe makini wasiende road,ila vijana wasiojua kuchanganua mambo ambao wakijazwa hamasa kidogo tu hao kama nyumbu wanaenda kuuliwa

Hawa ndio tunawatetea sisi, hakuna tena maandamano yasiyo na dira,watu wameanza kujielewa sasa

they are not playing someone's game
Mbona Samuya na genge lake la kina Chala, J4, Dully boy na wengine hawakenda road kupambana na waandamanaji??
 
Ndo hilo hasa tunafanya

Sisi hatupo CCM wala Chadema wala ACT

Sisi tunawaelewa CCM kwahiyo tunajua kuwa hawa tayari wapoje

Tunachofanya tunalilinda kundi ambalo halina uelewa

Kuwa wasiandamane kwakuwa wakiandamana uwezekano wa kupata madhara ni mkubwa .

Hatumzuii MTU kudai haki Ila tunamwambia aangalie njia itakayomfanya kuwa salama

Sasa nyie wajinga wachache ambao hamjitambui mnasema sisi ni chawa.
 
Yaani viongozi wa Chadema na ndugu zao je kuna MTU umesikia ameuliwa hiyo 29/10?
Hapana sijasikia,maana yake wamewafanya vijana wetu chambo na njia ya kutimiza malengo yao

Hapana kijana amka sasa jitambueni
 
MIMI MWAKA 2017 NILIKAA NA MBUNGE WA CHADEMA SITOMTAJA JINA

ILA ALISEMA JAMBO MPAKA LEO NAONA NI KWELI

KUWA TUWE MAKINI VIJANA KWAKUWA WAO AMBAO TUNAWAPAMBANIA HAWAPATI MADHARA ILA MADHARA TUNAPATA SISI.

NDO MAANA HAUWEZI KUKUTA KIONGOZI YEYOTE WA CHADEMA AKAKUBALI KUWEKA FAMILIA YAKE KATIKA HEKA HEKA ZA MAANDAMANO N.K
 
Mimi nipo hapa kuweka mambo sawa na kuondoa unafiki na uhuni mliofanya 29/10
Yaani mchafue chaguzi na kufanya utekaji kisha uje ujifanye tatizo lilianza 29/10? Kajadilianeni na viongozi ww ccm ambao hawaamini kuwa hiki sio kizazi cha ccm, na kuendelea kunajisi chaguzi zetu ndio kumetufikisha hapa. Na kwa taarifa yenu msiombe tukamate silaha za moto, maana kama nyie mnaingia madarakani kwa mtutu wa bunduki, na sisi tutatumia huo huo mtutu kupata ushindi.

Huku mitandaoni hakuna kundi la kuhubiria amani, kuna kundi la kuhoji haki. Huko vijijini wanaokunywa maji na mifugo na wamekaa kimya, ndio mkawahubirie amani. Mkija huku mitandanoni kuna mijadala ya haki na sio hotuba za amani. Zingatia mijadala na sio hotuba. Ertugrul Bey
 
Back
Top Bottom