Vijana nyinyi ndio mabadiliko yenyewe

Vijana nyinyi ndio mabadiliko yenyewe

Yaani mchafue chaguzi na kufanya utekaji kisha uje ujifanye tatizo lilianza 29/10? Kajadilianeni na viongozi ww ccm ambao hawaamini kuwa hiki sio kizazi cha ccm, na kuendelea kunajisi chaguzi zetu ndio kumetufikisha hapa. Na kwa taarifa yenu msiombe tukamate silaha za moto, maana kama nyie mnaingia madarakani kwa mtutu wa bunduki, na sisi tutatumia huo huo mtutu kupata ushindi.

Huku mitandaoni hakuna kundi la kuhubiria amani, kuna kundi la kuhoji haki. Huko vijijini wanaokunywa maji na mifugo na wamekaa kimya, ndio mkawahubirie amani. Mkija huku mitandanoni kuna mijadala ya haki na sio hotuba za amani. Zingatia mijadala na sio hotuba. Ertugrul Bey

NYIE MPAKA SASA HAMNA HOJA
 
MIMI MWAKA 2017 NILIKAA NA MBUNGE WA CHADEMA SITOMTAJA JINA

ILA ALISEMA JAMBO MPAKA LEO NAONA NI KWELI

KUWA TUWE MAKINI VIJANA KWAKUWA WAO AMBAO TUNAWAPAMBANIA HAWAPATI MADHARA ILA MADHARA TUNAPATA SISI.

NDO MAANA HAUWEZI KUKUTA KIONGOZI YEYOTE WA CHADEMA AKAKUBALI KUWEKA FAMILIA YAKE KATIKA HEKA HEKA ZA MAANDAMANO N.K
Inasemekana siku baada ya uchaguzi kuna familia za viongozi na watu mashuhuri waliambiwa waende hotelini au nasikia wengine walienda makambini

Haya wewe mwenzangu wa manzese,buza ,chanika,mbagala uliambiwa uende wapi?

tukisema mjitambue ni kwa maslahi yenu wenyewe
 
Sahihi
 
tukisema mjitambue ni kwa masla
Haya mambo ni ya wanaume dada sio ya wanawake kampikie mmeo
Hiyo kauli yako tu kutaja taja wanawake kwenye mijadala ya kiume inatia mashaka
 
NYIE MPAKA SASA HAMNA HOJA
Hoja ni zile mlizoagizwa mje mtulishe. Kawaambieni waliowatuma mmekutana na kundi la kuhoji, si kuhubiriwa. Na muwaambie haki ndio lengo letu, na ifahamike haki haiombwi.
 
Inasemekana siku baada ya uchaguzi kuna familia za viongozi na watu mashuhuri waliambiwa waende hotelini au nasikia wengine walienda makambini

Haya wewe mwenzangu wa manzese,buza ,chanika,mbagala uliambiwa uende wapi?

tukisema mjitambue ni kwa masla

Hiyo kauli yako tu kutaja taja wanawake kwenye mijadala ya kiume inatia mashaka
Hii shughuli ya wanaume sio ya wanawake kama wewe Kaa ndani unyonyeshe uishi miaka 1000
 
Back
Top Bottom