Vijana Njooni CCM, ndoto zenu zitatimia

KWA HAYA MACHACHE
Umasikini mkubwa wa watanganyika , ambao
wanamiliki rasilimali nyingi sana zisizohamishika
kama mbuga za asili,milima na maziwa makuu
barani afirka, pamoja na madini na mabwawa
makubwa na mabonde maarufu umesababishwa
kwa asilimia kubwa na UFISADI ndani ya ccm,
viongozi wamekuwa wakitafuna rasilimali hizi
kiasi cha kufikia kubeba twiga kwenye ndege,
wamekuwa wakiuuwa mali asili na meli za
viongozi wa ccm kukamatwa na meno ya tembo,
wamkuwa wakiuza nchi kwa kuingia mikataba ya
ovyo na kuhongwa mabilioni ya shilingi na
kwenda kuyaficha nje.
Umasikini wetu watanganyika haujatokana na
kulipa wabunge wa znz mishahara kwa vile
majimbo yao madogo, wala haujatokana na
kulipa wanajeshi na polisi ambao tunatumia
sehemu zote nchini huku znz haichangii. znz
tunaweza kuihudumia vizuri tu sisi kama
watanganyika bila kuchukua chochote kwao na
bado maendeleo pande zote yakawa mazuri.
Leo hii tunaagiza mafuta ,malawi wanachukulia
bandari yetu lakini kwao bei nafuu kuliko sisi,
uganda waagiza nguo kwa bandari yetu alafu
kule nafuu kuliko kwetu na kujikuta
wafanyabiashara wakienda uganda kununua nguo
au malawi kununua mafuta.YOTE HII NI UKUBWA
WA KODI TUNAYOTOZWA.huku pesa zote za
rasilimali zikitaifishwa na wachache mbaya zaidi
baada ya kuziweka katika mzunguko huchukua
mabilioni hayo kwenda kuyaficha nchi za ulaya
au sa na wengine hufa na pesa kupotelea huko.
Umasikini wetu wakutupa haijasababishwa na
waznz bali UONGOZI MBOVU WA CCM.
 
Umesema ukweli kwa kiasi fulani na watu wengi sana huwa wanakuwa mashabiki ikilinganishwa na CHADEMA basi CCM kweli inalea vijana wake vizuri CHADEMA wanakufukuza mara moja ni kweli kabisa
 
Muogope Mungu wako, ccm inatoa ajira, ni kampuni au tasisi..unapenda kunyasasa watoto,wazee, kwa kueneza uongo kwa wananchi,kwenye mitandao na kufanya ubabe ndio mnaiita vijana waje uko sio..hutizami ahadi za ccm tangu iingie madarakani..hutizami maisha yanavyo badikika kila cku..huoni chochote wewe Michael...unataka ufaidike peke yako wewe tuu...ufurahie maisha na bibi yako,wadogo zako na marafiki wana shinda na njaa..magonjwa..huduma za afya hakuna hawana mtetezi kwenye huduma yeyote ya kijamii...hujui kesho Tanzania itakuaje... Huna kumbumbuku yeyote ya mateso ya WA Tz kila siku..badala useme vijana waunganishe nguvu waikomboe Tz kwenye rushwa kubwa...ubabe..visasi..wewe unawaita kwenye UASI!! IPO SIKU UTAONJA KIKOMBE CHA HAYA NAYO YA SEMA..
 
Vijana Njooni CCM,

Miongoni mwa sifa ambazo Chama Cha Mapinduzi kimejipambanua nazo katika Nyanja za kimataifa na kitaifa ni pamoja na utaratibu na mfumo bora wa uendeshwaji wake, kwamba ni Chama kilicho kamili katika muundo wake, misingi yake, kanuni na taratibu zake. Lakini pamoja na hayo CCM inayo historia iliyotukuka si tu ya kuikomboa TANZANIA kutoka katika mikono ya wakoloni lakini pia kusaidia mataifa mengine ya kusini mwa jangwa la Sahara.

Chama Cha Mapinduzi, pamoja na mambo mengine bora, kimetimia vyema katika muundo wake kwa kuwepo kwa jumuiya imara zinazoishikilia na kuipa nguvu kila Uchao. Ipo jumuiya ya Vijana ambayo lengo kuu la Kuundwa kwake ni kuhakikisha kuwa Chama na Taifa linaandaa na kulea Viongozi wake wa kesho. Ni chama cha Mapinduzi pekee miongoni mwa vyama vyetu vya siasa hapa nchini ambacho kina “Sera ya malezi ya Vijana” iliyotungwa tangu 1981 na kuendelea kufanyiwa review mpaka sasa.

Vijana ndani ya Chama Cha Mapinduzi wanamatumaini Zaidi na wanaandaliwa na kusafishiwa njia ya mafanikio yao kwa mapenzi na weledi wa Viongozi. Tabia hii ya viongozi wa CCM kuwaandaa Vijana makini na kuwatengezea mazingira kwa kuwalea na kuwadhibiti katika matendo na mienendo ndio ambayo inakihakikishia Chama hiki Uhai wa miaka mingine 50 na hata Dahari. Ni wazi leo ukiwaangalia Vijana ndani ya CCM unaona picha ya Viongozi bora wa kitaifa wa Miaka 20 ijayo, ukiomuona JANUARY, NAPE, JERRY, n.k unaona picha ya Viongozi bora wa baadae tofauti na ukiangalia wenzetu SUGU, LEMA., NASSAR etc unaona kiza na wingu zitto.

Tofauti na vyama vingine, CCM ukiwa kijana una-reside your right of trial and error, kwa maana tumeshuhudia Vijana wengi ambao walikosea lakini wanapewa nafasi na kuwa Viongozi wakubwa na wazuri baadae, mifano hii iko mingi, binafsi nimewahi kufanya makosa lakini niliitwa na kuonyeshwa njia, na nilifanyiwa hayo sio kwa sababu mimi ni msukuma ama ------, kwa sababu kwenye Chama Chetu Usukuma ama ukwere sio sifa ya kuwa kiongozi kwa maana sikuangaliwa kabila langu ili niadhibiwe ama nisamehewe. KABILA halimbebi mtu ndani ya CCM.

Ipo siku niliitwa na Mzee wangu KINGUNGE NGOMBALI na akawa ananifundisha darasa la ITIKADI, tukaendelea na mjadala nikamuuliza ameweza vipi kuwa kiongozi mkubwa na mwenye heshima ya kipekee ndani ya Chama hali yeye haamini katika DINI yeyote.,akanijibu kwa ufupi na ufasaha kuwa DINI ya mtu sio sifa ya kuwa KIONGOZI ndani ya CCM. Kwenye CCM kila kijana na kila kiongozi ana sifa sawa na wengine, hakuna aliye mbora mbele ya wenzake, vipo vigezo vinavyotumika kumpata kiongozi, sio lazima uwe PADRI ama MCHUNGAJI ndio uonekane unafaa kuwa kiongozi ndani ya Chama, kwetu sisi DINI ya mwanachama sio sifa ya kuwa bora kwa wengine.

Nitoe wito kwa Vijana wenzangu kuuona ukweli huu na kuufuata, ufike wakati Vijana wajiandae na waandaliwe kuwa Viongozi Bora wa Kizazi Chao. Njooni CCM ambako ndoto zenu zitatimia, michango, uwezo na mawazo yenu itathaminiwa. Njooni ambako mtaonyeshwa njia ambayo mtakuwa tayari kuifata.

MWENYEZI MUNGU AWABARIKI NA AWAONGOZE KATIKA NJIA YA SAWASAWA.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.

Vivaa Vijana Vivaaa…!!!

Uuzaji sembe! Nawe umelelewa kumtukana liwassa hadharani! Malezi ya sssm hayo! Ukiwa sss ujanani uzeeni utakuwa mchawi ka kigunge na pinda
 
vijana waje kusindikiza ufisadi?rasilimali za taifa kuliwa na wajanja wachache?hospital watu wanakufa kwa kukosa vipimo nadawa,while shule mbavu za mbwa?Hamna vifaa vyakufundishia?walimu mshahara mdogo na haupatikani kwa wakati na wameambiwa wakiandamana watakutana na FFU,tembo wetu na faru na wanyama hai?? Madawa ya kulevya?dhahabu yetu?tanzanite etc
 
Mtu akishakuwa mwana CCM basi anavua akili zake za kuzaliwa na kupachika za CCM!
 
Vijana Njooni CCM,

Miongoni mwa sifa ambazo Chama Cha Mapinduzi kimejipambanua nazo katika Nyanja za kimataifa na kitaifa ni pamoja na utaratibu na mfumo bora wa uendeshwaji wake, kwamba ni Chama kilicho kamili katika muundo wake, misingi yake, kanuni na taratibu zake. Lakini pamoja na hayo CCM inayo historia iliyotukuka si tu ya kuikomboa TANZANIA kutoka katika mikono ya wakoloni lakini pia kusaidia mataifa mengine ya kusini mwa jangwa la Sahara.

Chama Cha Mapinduzi, pamoja na mambo mengine bora, kimetimia vyema katika muundo wake kwa kuwepo kwa jumuiya imara zinazoishikilia na kuipa nguvu kila Uchao. Ipo jumuiya ya Vijana ambayo lengo kuu la Kuundwa kwake ni kuhakikisha kuwa Chama na Taifa linaandaa na kulea Viongozi wake wa kesho. Ni chama cha Mapinduzi pekee miongoni mwa vyama vyetu vya siasa hapa nchini ambacho kina “Sera ya malezi ya Vijana” iliyotungwa tangu 1981 na kuendelea kufanyiwa review m
 
Nyinyiem sasahivi ndio imeanza kuwatambua vijana pole sana dadaangu mimi ni m2 ninao wafaham vizuri wewe na mwampamba kwahiyo hamniambii kitu
 
Mnataka wawafunze vijana namna ya kukunja twiga kwenye ndege,jamani ii ndo nyinyiem ambayo wezi wa meno ya tembo inawajua lakini bado imenuna tu,nyinyiem icyo nn maana ya division of labour......
''Senkyu vereee machiii''
 
Mnataka muwafunze vijana namna ya kukunja twiga kwenye ndege,jamani ii ndo nyinyiem ambayo wezi wa meno ya tembo inawajua lakini bado imenuna tu,nyinyiem icyojua nn maana ya division of labour......
''Senkyu vereee machiii''
 
Vijana Njooni CCM,

Miongoni mwa sifa ambazo Chama Cha Mapinduzi kimejipambanua nazo katika Nyanja za kimataifa na kitaifa ni pamoja na utaratibu na mfumo bora wa uendeshwaji wake, kwamba ni Chama kilicho kamili katika muundo wake, misingi yake, kanuni na taratibu zake. Lakini pamoja na hayo CCM inayo historia iliyotukuka si tu ya kuikomboa TANZANIA kutoka katika mikono ya wakoloni lakini pia kusaidia mataifa mengine ya kusini mwa jangwa la Sahara.

Chama Cha Mapinduzi, pamoja na mambo mengine bora, kimetimia vyema katika muundo wake kwa kuwepo kwa jumuiya imara zinazoishikilia na kuipa nguvu kila Uchao. Ipo jumuiya ya Vijana ambayo lengo kuu la Kuundwa kwake ni kuhakikisha kuwa Chama na Taifa linaandaa na kulea Viongozi wake wa kesho. Ni chama cha Mapinduzi pekee miongoni mwa vyama vyetu vya siasa hapa nchini ambacho kina “Sera ya malezi ya Vijana” iliyotungwa tangu 1981 na kuendelea kufanyiwa review mpaka sasa.

Vijana ndani ya Chama Cha Mapinduzi wanamatumaini Zaidi na wanaandaliwa na kusafishiwa njia ya mafanikio yao kwa mapenzi na weledi wa Viongozi. Tabia hii ya viongozi wa CCM kuwaandaa Vijana makini na kuwatengezea mazingira kwa kuwalea na kuwadhibiti katika matendo na mienendo ndio ambayo inakihakikishia Chama hiki Uhai wa miaka mingine 50 na hata Dahari. Ni wazi leo ukiwaangalia Vijana ndani ya CCM unaona picha ya Viongozi bora wa kitaifa wa Miaka 20 ijayo, ukiomuona JANUARY, NAPE, JERRY, n.k unaona picha ya Viongozi bora wa baadae tofauti na ukiangalia wenzetu SUGU, LEMA., NASSAR etc unaona kiza na wingu zitto.

Tofauti na vyama vingine, CCM ukiwa kijana una-reside your right of trial and error, kwa maana tumeshuhudia Vijana wengi ambao walikosea lakini wanapewa nafasi na kuwa Viongozi wakubwa na wazuri baadae, mifano hii iko mingi, binafsi nimewahi kufanya makosa lakini niliitwa na kuonyeshwa njia, na nilifanyiwa hayo sio kwa sababu mimi ni msukuma ama ------, kwa sababu kwenye Chama Chetu Usukuma ama ukwere sio sifa ya kuwa kiongozi kwa maana sikuangaliwa kabila langu ili niadhibiwe ama nisamehewe. KABILA halimbebi mtu ndani ya CCM.

Ipo siku niliitwa na Mzee wangu KINGUNGE NGOMBALI na akawa ananifundisha darasa la ITIKADI, tukaendelea na mjadala nikamuuliza ameweza vipi kuwa kiongozi mkubwa na mwenye heshima ya kipekee ndani ya Chama hali yeye haamini katika DINI yeyote.,akanijibu kwa ufupi na ufasaha kuwa DINI ya mtu sio sifa ya kuwa KIONGOZI ndani ya CCM. Kwenye CCM kila kijana na kila kiongozi ana sifa sawa na wengine, hakuna aliye mbora mbele ya wenzake, vipo vigezo vinavyotumika kumpata kiongozi, sio lazima uwe PADRI ama MCHUNGAJI ndio uonekane unafaa kuwa kiongozi ndani ya Chama, kwetu sisi DINI ya mwanachama sio sifa ya kuwa bora kwa wengine.

Nitoe wito kwa Vijana wenzangu kuuona ukweli huu na kuufuata, ufike wakati Vijana wajiandae na waandaliwe kuwa Viongozi Bora wa Kizazi Chao. Njooni CCM ambako ndoto zenu zitatimia, michango, uwezo na mawazo yenu itathaminiwa. Njooni ambako mtaonyeshwa njia ambayo mtakuwa tayari kuifata.

MWENYEZI MUNGU AWABARIKI NA AWAONGOZE KATIKA NJIA YA SAWASAWA.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.

Vivaa Vijana Vivaaa…!!!
ni kweli
 
Makonda nasikia wewe Spika yule mstaafu na huyu mzee wa Msoga walikusodomize sana ni ya kweli hayo?? Unatushaurije Vijana kama mimi wa CHADEMA nihamie huko ni ngumu na haitowezekana. Labda kama unashawishi vijana wawe mashoga tuu. Mimi sikubaliani nawewe kamwee
 
Hapana Sio kweli Kaka Mkubwa.. hapana ukweli wowote hapo ...

Juzi tu tumeshuhudia vijana haohao wanapishana kauli na kukosoana mbele ya vyombo vya habari ... na imeshatokea mara kadhaa ...

Ingekua ni kweli vijana hao wamelelewa katika maadili ya uongozi uliotukuka leo hii tusingekua tunazunguzia na kuhoji uhalali wa vyeti vya mtu au kutaka kujua historia ya mtu kielimu na kiuchumi ... ilituweze kupata ushahidi wa shutuma za mtu juu ya matendo yake yasiyo pendeza kama kiongozi ...

Najua unafahamu mengi sana zaidi yangu ... ila nikwambie kitu Chama Chetu Mizigo ... kimekua kinaendeshwa na misingi ya kasumba ya kutukuza waanzilishi au waliotangulia ... kwa hiyo maadili ya uongozi ndani ya chama yana egemea katika nguvu ya msingi wa aliye kusababisha uwepo hapo ulipo kama kijana ...

Hao woote waliotolewa mfano ni watoto wa makada waliokua na nafasi zao za kibabe ndani ya chama ... nankama sio mtoto wa kada fulani basi utakua uliishi chini ya kafa fulani na kutimiza lengo lake katika kampeni yake fulani ... na hivyo utapewa shukurani kwa kufanywa kama kijana wa mfano ...

Hili tumeliona ... ndio maana mzungumzaji ktk uzi huu leo hii amekua na sauti ya kiburi na majigambo pengine kushinda hata hao watoto wa makada ... na tokeo yake ikafikia kukosoana na kupigana vijembe mbele ya vyombo vya habari ... sasa jiulize zile ofisi za nini? kama kweli wameandaliwa kuwa viongozi bora si wangeitana katika ofisi zao na kunyooshana vizuri leo hii wananyooshana mbele ya vyombo vya habari na mitandao ya jamii tena kwa vijembe na majungu ...

Leo hii tunashuhudia kiongozi anaejiita kaandaliwa kwa maadili ... imefikia anatoa kauli za dharau mbele hao wazazi wake na wazazi wanachekelea ... Hii ni sawa na mtoto aliye mtukana jirani yako halafu kisha unamsifu mwanao kuwa ni shujaa na jemedari na hana mzaha ... kweli jamani?

Hebu tijiulize huyo January, Nape, Jerry ni watoto wa kina nani ndani ya CCM ... na huyo Sugu, Lema, Mdee ni watoto wa kina nani ndani ya Chadema?

Leo hii huyu mzungumzaji anajiona kuwa yeye ninmteule kutoka na kuiva kimaadili ndani ya Chama kama kijana ... anasahau kua uteule wake ni shukrani ya kulinda maslahi ya makada fulani ndani ya Chama ... kwani unafikiri sisi hatijui yaliyojiri na mgogoro uliopo katika kigoda cha mwalimu?

Leo hii kijana mwenye maadili angekwenda kuvuruga mkutano wa Mzee warioba ... na yeye kama yeye asingeweza ila ni kwa sababu kapewa baraka na hao waliomuweka pale ... na akae akijua bila ya hilo hakuna ambae angemfahamu angebaki kua kihelehele na meneja wa kampeni za Chama Kwisha ...

Mwisho kabisa napenda nikwambie kua vijana ndani ya "Chama Chetu Mzigo" wanalelewa katika misingi ya kasumba kwa kuangalia nakulinganisha uwepo wapo na nguvu ya alie kusababisha uwepo hapo ulipo ... Upo hapo Mkuu
 
Vijana Njooni CCM,

Miongoni mwa sifa ambazo Chama Cha Mapinduzi kimejipambanua nazo katika Nyanja za kimataifa na kitaifa ni pamoja na utaratibu na mfumo bora wa uendeshwaji wake, kwamba ni Chama kilicho kamili katika muundo wake, misingi yake, kanuni na taratibu zake. Lakini pamoja na hayo CCM inayo historia iliyotukuka si tu ya kuikomboa TANZANIA kutoka katika mikono ya wakoloni lakini pia kusaidia mataifa mengine ya kusini mwa jangwa la Sahara.

Chama Cha Mapinduzi, pamoja na mambo mengine bora, kimetimia vyema katika muundo wake kwa kuwepo kwa jumuiya imara zinazoishikilia na kuipa nguvu kila Uchao. Ipo jumuiya ya Vijana ambayo lengo kuu la Kuundwa kwake ni kuhakikisha kuwa Chama na Taifa linaandaa na kulea Viongozi wake wa kesho. Ni chama cha Mapinduzi pekee miongoni mwa vyama vyetu vya siasa hapa nchini ambacho kina “Sera ya malezi ya Vijana” iliyotungwa tangu 1981 na kuendelea kufanyiwa review mpaka sasa.

Vijana ndani ya Chama Cha Mapinduzi wanamatumaini Zaidi na wanaandaliwa na kusafishiwa njia ya mafanikio yao kwa mapenzi na weledi wa Viongozi. Tabia hii ya viongozi wa CCM kuwaandaa Vijana makini na kuwatengezea mazingira kwa kuwalea na kuwadhibiti katika matendo na mienendo ndio ambayo inakihakikishia Chama hiki Uhai wa miaka mingine 50 na hata Dahari. Ni wazi leo ukiwaangalia Vijana ndani ya CCM unaona picha ya Viongozi bora wa kitaifa wa Miaka 20 ijayo, ukiomuona JANUARY, NAPE, JERRY, n.k unaona picha ya Viongozi bora wa baadae tofauti na ukiangalia wenzetu SUGU, LEMA., NASSAR etc unaona kiza na wingu zitto.

Tofauti na vyama vingine, CCM ukiwa kijana una-reside your right of trial and error, kwa maana tumeshuhudia Vijana wengi ambao walikosea lakini wanapewa nafasi na kuwa Viongozi wakubwa na wazuri baadae, mifano hii iko mingi, binafsi nimewahi kufanya makosa lakini niliitwa na kuonyeshwa njia, na nilifanyiwa hayo sio kwa sababu mimi ni msukuma ama ------, kwa sababu kwenye Chama Chetu Usukuma ama ukwere sio sifa ya kuwa kiongozi kwa maana sikuangaliwa kabila langu ili niadhibiwe ama nisamehewe. KABILA halimbebi mtu ndani ya CCM.

Ipo siku niliitwa na Mzee wangu KINGUNGE NGOMBALI na akawa ananifundisha darasa la ITIKADI, tukaendelea na mjadala nikamuuliza ameweza vipi kuwa kiongozi mkubwa na mwenye heshima ya kipekee ndani ya Chama hali yeye haamini katika DINI yeyote.,akanijibu kwa ufupi na ufasaha kuwa DINI ya mtu sio sifa ya kuwa KIONGOZI ndani ya CCM. Kwenye CCM kila kijana na kila kiongozi ana sifa sawa na wengine, hakuna aliye mbora mbele ya wenzake, vipo vigezo vinavyotumika kumpata kiongozi, sio lazima uwe PADRI ama MCHUNGAJI ndio uonekane unafaa kuwa kiongozi ndani ya Chama, kwetu sisi DINI ya mwanachama sio sifa ya kuwa bora kwa wengine.

Nitoe wito kwa Vijana wenzangu kuuona ukweli huu na kuufuata, ufike wakati Vijana wajiandae na waandaliwe kuwa Viongozi Bora wa Kizazi Chao. Njooni CCM ambako ndoto zenu zitatimia, michango, uwezo na mawazo yenu itathaminiwa. Njooni ambako mtaonyeshwa njia ambayo mtakuwa tayari kuifata.

MWENYEZI MUNGU AWABARIKI NA AWAONGOZE KATIKA NJIA YA SAWASAWA.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.

Vivaa Vijana Vivaaa…!!!

Mnajionyesha ni jinsi gani mko WABAGUZI,hivi ni lazima KIJANA awe CCM ndiyo apewe nafasi ya uongozi??Hivi ni lazima awe MWANACCM ndiyo aweze kupewa ukurugenzi??

Basi kama ni hivyo hamstahili kuishi Tanzania.Mdogo wangu TANZANIA siyo ya wanaCCM Tanzania ni yetu sote.Hebu for once fuateni nyayo ya aliyeianzisha CCM,naona huko Kaburini anaumia sana kuona watu aliowaacha ni wa kaliba ya kwako wewe mbaguzi na mwenye visasi.

Jirekebisha muda bado unao.Tanzania itajengwa na watanzani bila kujali itikadi zao.Acheni UBAGUZI haujengi bali unabomoa TAIFA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom