King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 63,385
- 96,476
Halafu vijana wengi hawajielewi kabisa ,wanajichanganya kwenye makundi ya watu na kwenye daladala bila barakoa yaani wanaishi kama vile hakuna corona tahadhari ni "NEI" na ndio wanaopelekea wazee majumbani.