cardiologue
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 351
- 90
Vijana watz wengi ni mbumbumbu na watumwa wa siasa.Kwa mujibu ya sensa ya watu na makazi zaidi ya 60% ya watanzania ni vijana.Cha kuhuzunisha zaidi vijana hawa kila kukicha wanazidi kumiminika kushabikia siasa wakidhani ndio mkombozi wa maisha yao, well sio mbaya ila ubaya unakuja pale tunapoelekea uchaguzi na hakuna hata kijana kutoka upinzani aliyeonesha nia ya kuongoza taifa hili lenye idadi kubwa ya vijana.....yani wote ukiwauliza nani afaa kuwa rais utasikia MBOWE, SLAA, LIPUMBA yani woooote wamepigwa upofu wajione kwamba hawafai kwa nafasi ya urais.Kazi ya vijana wa leo ni kulinda masunduku ya kura na kuingia barabarani kwa ajili ya maandamano.IKUMBUKWE MWALIMU ALIINGIA MAGOGONI AKIWA KIJANA WA MIAKA37 tu.One love kwa vijana MWIGULU NCHEMBA, JANUARY MAKAMBA, HAMIS KIGWANGALA kwa uthubutu walioonesha.RESPECT kwa ZZK ingawa walikuita msaliti fikra zako zilieleweka.
Mimi ni kijana huru nisiye na mihemuko ya vyama, najali maslahi ya taifa langu, sifungamani na chama chochote please moods usitupie kapuni.
Mimi ni kijana huru nisiye na mihemuko ya vyama, najali maslahi ya taifa langu, sifungamani na chama chochote please moods usitupie kapuni.