Vijana na utumwa wa siasa

Vijana na utumwa wa siasa

VIJANA wa leo wandhani URAIS ni sawa na kufikia wakati wa KUPOSA na kwenda kutoa POSA,hata huko pia kama hujakua kunakuwa kugumu.

Tumuone huyo rais wa DRC toka ameanza amekuwa na changamoto gani na zipi aliziweza kuzitatua kama RAIS?Hebu tumuangalie leo yuko wapi kama RAIS.

URAIS siyo kwenda DISCO jama,kuna hitaji UWEZO,huyo tuliyenaye ameufanya URAIS unekane kama KUNYWA supu za mbuzi mtaani.

Miaka Kumi yote Tanzania tumekuwa kama TAIFA lisilo na mwenyewe,leo eti vijana wanakuja na kujitangaza ati wanaweza.

Hebu tujifunze na huyu aliyepo MADARAKANi ndipo tuende na hao wanatoa RUSHWA za kila rangi ili waupate huo UKULU wa KAYA.Hawajui URAIS siyo issue ya kuipamba CV tu.

Tuwaombee tu hawa hawajui wasemalo............ wala walitakalo...............

Msukule ulozaliwa kwa ajili ya kutawaliwa,, subiri wale uwaonao wewe kuwa walizaliwa na hati miliki ya Tanzania wakuongoze,

Iron boy thoughts, plato hakukosea, hakuna uthubutu kwenye hii akiki na cha ajabu analilia mabadiliko, katika akili hii kuna inferiority complex na atabaki mpiga makofi katika majukwaa na mpige vigelegele mzuri sana,

maana kwake wanaoweza ama wanaokaa kwenye hicho kiti kwako ni Miungu watu hivo vijana hatuwezi. endelea kupiga vigelegele na makofi kupongeza miungu yako ambayo unadhani wana nguvu ya kuitwaa Tanzania peke yao, maana kwako vijana hawana nafasi.
 
Thats y I salute walioonesha uthubutu,wao wanatosha ningefarijika sana kuona vijana wengi zaidi wa upinzani wanajitokeza ili ile dhana ya demokrasia itimie.

Bwana mdogo hapa hatufanyi maigizo ...eti kuonyesha dhana ya demokrasia

Country head is a serious business...sio hayo matatap yako yanayotaka kukimbilia ikulu ndio unaona wanafanya la maana...eti Rais Kigwangala,Rais Mwigulu,Rais Zito,eti Rais Lusinde.

Vijana acheni kuwaza mambo ki upuuzi kiasi hiki...au kwa sababu mmeona mwenzenu kichaa mpiga watu kapewa U dc ...kwa hio mkajiona mnafaa
 
VIJANA wa leo wandhani URAIS ni sawa na kufikia wakati wa KUPOSA na kwenda kutoa POSA,hata huko pia kama hujakua kunakuwa kugumu.

Tumuone huyo rais wa DRC toka ameanza amekuwa na changamoto gani na zipi aliziweza kuzitatua kama RAIS?Hebu tumuangalie leo yuko wapi kama RAIS.

URAIS siyo kwenda DISCO jama,kuna hitaji UWEZO,huyo tuliyenaye ameufanya URAIS unekane kama KUNYWA supu za mbuzi mtaani.

Miaka Kumi yote Tanzania tumekuwa kama TAIFA lisilo na mwenyewe,leo eti vijana wanakuja na kujitangaza ati wanaweza.

Hebu tujifunze na huyu aliyepo MADARAKANi ndipo tuende na hao wanatoa RUSHWA za kila rangi ili waupate huo UKULU wa KAYA.Hawajui URAIS siyo issue ya kuipamba CV tu.

Tuwaombee tu hawa hawajui wasemalo............ wala walitakalo...............
Ndio maana niliwapa mfano wa mwalimu hapo juu, huyu alikuwa kijana wa miaka37 tu alivoingia ikulu.Pia kila mtu ana mapungufu yake so tufute ile dhana kwamba vijana kazi ni moja tu kulinda masanduku ya kura.
 
Msukule ulozaliwa kwa ajili ya kutawaliwa,, subiri wale uwaonao wewe kuwa walizaliwa na hati miliki ya Tanzania wakuongoze,

Iron boy thoughts, plato hakukosea, hakuna uthubutu kwenye hii akiki na cha ajabu analilia mabadiliko, katika akili hii kuna inferiority complex na atabaki mpiga makofi katika majukwaa na mpige vigelegele mzuri sana,

maana kwake wanaoweza ama wanaokaa kwenye hicho kiti kwako ni Miungu watu hivo vijana hatuwezi. endelea kupiga vigelegele na makofi kupongeza miungu yako ambayo unadhani wana nguvu ya kuitwaa Tanzania peke yao, maana kwako vijana hawana nafasi.

Kwa hio wewe unataka watu wote tutawale?

Haya na wewe ukatutawale basi.

Mkuu...Jaribu kuwa na akili hata ya Toilet Paper
 
Ndio maana niliwapa mfano wa mwalimu hapo juu, huyu alikuwa kijana wa miaka37 tu alivoingia ikulu.Pia kila mtu ana mapungufu yake so tufute ile dhana kwamba vijana kazi ni moja tu kulinda masanduku ya kura.

Bwana mdogo....unachoshindwa kuelewa...kuwa rais sio kutangaza nia...kama kuna mtu yeyote kati yetu aidha mzee au kijana tunaona anatosha na ana sifa za kuwa rais tumchague awe Rais....Huwezi kuwa na argument ya Ujana tu eti mtu awe Rais....
 
Bwana mdogo hapa hatufanyi maigizo ...eti kuonyesha dhana ya demokrasia

Country head is a serious business...sio hayo matatap yako yanayotaka kukimbilia ikulu ndio unaona wanafanya la maana...eti Rais Kigwangala,Rais Mwigulu,Rais Zito,eti Rais Lusinde.

Vijana acheni kuwaza mambo ki upuuzi kiasi hiki...au kwa sababu mmeona mwenzenu kichaa mpiga watu kapewa U dc ...kwa hio mkajiona mnafaa
Ni kweli sio maigizo, ila wewe ndio umeleta mzaha kumtaja lusinde wakati hayupo ktk uzi wangu.....hiyo kuhusu DC kijana nilieta uzi asubuhi ila bahati mbaya adm wakauban....nilikuwa nimemjibu vizuri sana braza ben, ile kupost tu naambiwa uzi deleted
 
yawezekana mleta mada hajui kwamba siasa ni maisha! nyerere akisema ili nchi iendelee inahitaji SIASA SAFI NA UONGOZI BORA
sasa hikiwa siasa imebeba maisha ya watu kwa nini vijana wasi hamke juu ya nchi yao? kwani nyerere alipokua anadai uhuru kutoka kwa wakoloni alikua kiongozi wa dini? uhu ni ujinga wa kupindukia kwa mleta mada,

ikiwa wanasiasa wanauza nchi na kujilimbikizia mali kwa nini vijana wasiamke? kwani nyerere alipokua akidai uhuru na kupinga unyonyaji alikua mzee?
 
Kwa hiyo vijana wote wa upinzani hakuna mwenye sifa ya kuwa rais zaidi ya ulinzi wa masanduku ya kura?? Au kuandaa propaganda iwe ni mitandaoni au wapi?? Zamani kazi ya propaganda ilikuwa inafanywa na wazee then wanatumwa vijana wakafanye kazi sasa hivi ni vice versa.JK sio malaika, yapo mazuri mengi aliyoyafanya na yapo yenye mapungufu tuwe wakweli vijana

Sijasema hakuna ila kila mtu anatakiwa kuungalia uwezo wake kabla ya kuamua kutangaza NIA.Kuna wengine unawaona kabisa wanajichoresha,ni kama ile methali isemayo..'Kibaya chajitembeza na kizuri chajiuza..."

Aliyesema IKULU ni PATAKATIFU,na siyo mahali pa kukimbilia alikuwa anauelewa UGUMU wake,kwa maana ya kujitoa,kuwa mzalendo,mkamilifu,mchapakazi,,a mwenye uthubutu wa kutoa maamuzi magumu,na siyo hivyo tu kuutoa UTU na UHAI kwa ajili ya TAIFA,hebu jiulize hao waliotangaza NIA wanauthubutu wa hata KUMFUNGA MKEWE,MZAZI,KAKA,DADA,NDUGU,RAFIKI au MTOTO wake?

Kwa kifupi hakuna hata mmoja kati ya hao waliotangaza NIA wanauthubutu huo.Hivyo in short hakuna sababu ya kutoa NIA wakati UWEZO huna?Unatoa NIA sababu ya kujionyesha kwenye jamii ili kujulikana tu...........
 
Ni kweli sio maigizo, ila wewe ndio umeleta mzaha kumtaja lusinde wakati hayupo ktk uzi wangu.....hiyo kuhusu DC kijana nilieta uzi asubuhi ila bahati mbaya adm wakauban....nilikuwa nimemjibu vizuri sana braza ben, ile kupost tu naambiwa uzi deleted

Mkuu kwa akili yako nilivyokuona unafaa kabisa kuwa Rais wa Tanzania...Katangaze nia...ututawale
 
Bwana mdogo....unachoshindwa kuelewa...kuwa rais sio kutangaza nia...kama kuna mtu yeyote kati yetu aidha mzee au kijana tunaona anatosha na ana sifa za kuwa rais tumchague awe Rais....Huwezi kuwa na argument ya Ujana tu eti mtu awe Rais....
Tukiwapata vijana, wakashindanishwa na wazee tutapata mgombea aliye bora atakayepigiwa kura....sio mwanzo wa game kabisaaa vijana wajiandae kulinda kura huu mtanange ni wa wazee THE BIG NON
 
Mkuu kwa akili yako nilivyokuona unafaa kabisa kuwa Rais wa Tanzania...Katangaze nia...ututawale
Siku nikija kuitwa katika siasa, nikatangaza kugombea nafasi fulani then nikashinda SITAKUWA MTAWALA BALI KIONGOZI
 
Tukiwapata vijana, wakashindanishwa na wazee tutapata mgombea aliye bora atakayepigiwa kura....sio mwanzo wa game kabisaaa vijana wajiandae kulinda kura huu mtanange ni wa wazee THE BIG NON

Huelewi unachokisema....Hatuchagui rais kutokana na ujana wake au uzee wake
 
Msukule ulozaliwa kwa ajili ya kutawaliwa,, subiri wale uwaonao wewe kuwa walizaliwa na hati miliki ya Tanzania wakuongoze,

Iron boy thoughts, plato hakukosea, hakuna uthubutu kwenye hii akiki na cha ajabu analilia mabadiliko, katika akili hii kuna inferiority complex na atabaki mpiga makofi katika majukwaa na mpige vigelegele mzuri sana,

maana kwake wanaoweza ama wanaokaa kwenye hicho kiti kwako ni Miungu watu hivo vijana hatuwezi. endelea kupiga vigelegele na makofi kupongeza miungu yako ambayo unadhani wana nguvu ya kuitwaa Tanzania peke yao, maana kwako vijana hawana nafasi.

Badala ya kutoa hoja yenye mashiko unatukana haya endelea kutukana kama unadhani matusi yanajenga.Pole sanan.Sina muda na mtu anayefikiria MATUSI ndiyo njia pekee ya kujenga...............
 
Ndio maana niliwapa mfano wa mwalimu hapo juu, huyu alikuwa kijana wa miaka37 tu alivoingia ikulu.Pia kila mtu ana mapungufu yake so tufute ile dhana kwamba vijana kazi ni moja tu kulinda masanduku ya kura.

Nimesema hivi,suala hapa siyo MZEE au KIJANA hapa tunaongelea UWEZO na siyo UMILIKI wa nafasi ya URAIS!!!!!!!Je huyo anayejitangaza ana UWEZO wa kugombea nafasi hii kubwa?Je,na yule anayetaka kutoa nia ajipime ana UTHUBUTU wa MAAMUZI magumu?

Kuna mambo mengi ambayo mtu anayafikiria kabla hajaamua kutoa nia ya kugombea nafasi ya uongozi.Hata huko shule tulikokuwa kuna watoto ambao naturally wanauwezo wa kuongoza kuliko wenzao,japo wote wana umri mmoja.........

Hata huyo kijana anayetangaza nia tujiulize anatutangazia UWEZO anao?Je,anauthubutu?Tusije tukawapigia debe watu ambao ni dhaifu,tusifanye kosa la mwaka 2005 na kulirudia tena 2010,hayo ndiyo mambo ya msingi ya kuyaangalia.Jiulize mwenyewe ndani ya moyo na kichwa chako unauwezo?Je,unauthubutu?Hakuna haki miliki ya kijana au mzee kuwa RAIS yeyote mwenye UWEZO ana weza kuwa RAIS......Hata wewe kama unauthubutu tangaza nia tu........SIyo VIJANA wote wanauwezo sawa,tusijidanganyene na walausijidanganye binadamu tumeumbwa tofauti sana sana.
 
yawezekana mleta mada hajui kwamba siasa ni maisha! nyerere akisema ili nchi iendelee inahitaji SIASA SAFI NA UONGOZI BORA
sasa hikiwa siasa imebeba maisha ya watu kwa nini vijana wasi hamke juu ya nchi yao? kwani nyerere alipokua anadai uhuru kutoka kwa wakoloni alikua kiongozi wa dini? uhu ni ujinga wa kupindukia kwa mleta mada,

ikiwa wanasiasa wanauza nchi na kujilimbikizia mali kwa nini vijana wasiamke? kwani nyerere alipokua akidai uhuru na kupinga unyonyaji alikua mzee?
Jaribu kusoma na kuelewa mada hapo juu....vijana kuamka na kuchangamkia siasa kama mkombozi wa maisha yao si mbaya, ubaya unakuja pale wanaponyimwa nafasi hata za kugombea tu hilo ni tatizo nimetoa mfano wa MWALIMU ALIINGIA IKULU AKIWA KIJANA
 
Nimesema hivi,suala hapa siyo MZEE au KIJANA hapa tunaongelea UWEZO na siyo UMILIKI wa nafasi ya URAIS!!!!!!!Je huyo anayejitangaza ana UWEZO wa kugombea nafasi hii kubwa?Je,na yule anayetaka kutoa nia ajipime ana UTHUBUTU wa MAAMUZI magumu?

Kuna mambo mengi ambayo mtu anayafikiria kabla hajaamua kutoa nia ya kugombea nafasi ya uongozi.Hata huko shule tulikokuwa kuna watoto ambao naturally wanauwezo wa kuongoza kuliko wenzao,japo wote wana umri mmoja.........

Hata huyo kijana anayetangaza nia tujiulize anatutangazia UWEZO anao?Je,anauthubutu?Tusije tukawapigia debe watu ambao ni dhaifu,tusifanye kosa la mwaka 2005 na kulirudia tena 2010,hayo ndiyo mambo ya msingi ya kuyaangalia.Jiulize mwenyewe ndani ya moyo na kichwa chako unauwezo?Je,unauthubutu?Hakuna haki miliki ya kijana au mzee kuwa RAIS yeyote mwenye UWEZO ana weza kuwa RAIS......Hata wewe kama unauthubutu tangaza nia tu........SIyo VIJANA wote wanauwezo sawa,tusijidanganyene na walausijidanganye binadamu tumeumbwa tofauti sana sana.
Kwa hiyo kwa upande wa upinzani vijana wote hawana uwezo wa nafasi ya urais zaidi ya wazee wetu??? Sipo hapa kumshabikia mtu la hasha, ila kwa vijana waliotangaza nia mpaka sasa wanao uwezo wa kitaasis na wana uthubutu....KIGWANGALA AMEJIDHIHIRSHA KUPITIA ESCROW SAGA, SOKOINE WA2 SPEED YAKE INAJULIKANA IWE OFISINI AU BARABARANI, MAKAMBA NI MTU MAKINI SANA BUMBULI WANAMFAHAMU VIZURI.Nikija kwa ZZK HUYU NI MWIBA NA MWANA TRANSFORMATION ndio maana ili kuzima ndoto zake akaundiwa scandal ya usaliti.Nionavyo mimi kuna vijana wengi wa upinzani wanao uwezo wa kitaasisi tatizo ni u mbumbumbu tu
 
Hahahaha unaendeshwa na hisia mfu, vip wanaosema Lowassa, Membe, Wassira? je na wao ni vijana?....

maana Mbowe, lipumba na Slaa kwako ndio wazee!!!....
Daaah ama kweli kuelewa ni wito, hao uliowataja ni kweli kuwa si vijana ndio maana vijana wa chama chao wamesema hapana na sisi tunaweza kuingia ikulu.WAKO WAPI VIJANA WA UPINZANI??? Kupewa mafunzo ya mgambo ili kulinda kura?? Kujiandaa kuandamana??
 
U mbumbumbu sio kumshabikia mbowe, slaa na lipumba hata makaidi....u mbumbumbu ni pale wanapotumika kupigwa ganzi wajione hawawezi na kubaki na kazi ya ulinzi tu....mfano wale mgambo walioapishwa juzi kati Mbeya
kumbe hiyo ndio imekuumiza bwanamdogo ? pole sana , labda kwa faida yako tu ni kwamba siasa ndio mwongozo wa maisha katika nchi yoyote ile , wanasiasa ndio policy makers , kwahiyo siasa ni maisha , sasa usiwabeze wale wanaoshabikia siasa au wanasiasa , hilo la vijana kugombea urais huku kwetu UKAWA si kama ccm ambako kuwa kiongozi ni kuula , huku uongozi ni dhamana , tunaamini kuwa ikulu si mahali pa kukimbilia , lingine ni kwamba ukitaka ufikiriwe uwaziri ndani ya ccm ni vizuri ukitishia kugombea urais , jaribu kufanya utafiti , kwa hiyo hawa akina january , mwigulu , nyalandu , kigwangwala etc wamefanya hivi kwa lengo hilo, hawana uwezo na hata wao wanajua , IKULU NI MZIGO , naishia hapa kwa leo .
 
You must be Genius, Ukweli mtupu hapo, sasa subiri mimi kama kijana Nitangaze nia Uone wajinga watakavyoandika mpaka kile nilichokisoma vidudu, familia nilokulia, na kadhalika,

vijana tuamke tuache siasa za mitandao na ifikie hatua tuwe na Udhubutu na tujiamin kuwa tunaweza.
wanaoweza wanajulikana na wachumia tumbo pia wanafahamika , katika hawa anaowataja huyu mleta uzi hakuna hata mmoja mwenye uwezo , hata hapo walipo wamebebwa waziwazi
! nani asiyejua kisa cha mwigulu kuwa hapo alipo ? january ni mtoto wa yusuph makamba nani hajui ? Hamis hata kura za maoni nzega alikataliwa nani amesahau ?
 
Back
Top Bottom