masalu2014
Member
- Oct 8, 2014
- 7
- 0
51% ya watanzania ni watoto i.e chini ya miaka 18.
Kwa hiyo kwa upande wa upinzani vijana wote hawana uwezo wa nafasi ya urais zaidi ya wazee wetu??? Sipo hapa kumshabikia mtu la hasha, ila kwa vijana waliotangaza nia mpaka sasa wanao uwezo wa kitaasis na wana uthubutu....KIGWANGALA AMEJIDHIHIRSHA KUPITIA ESCROW SAGA, SOKOINE WA2 SPEED YAKE INAJULIKANA IWE OFISINI AU BARABARANI, MAKAMBA NI MTU MAKINI SANA BUMBULI WANAMFAHAMU VIZURI.Nikija kwa ZZK HUYU NI MWIBA NA MWANA TRANSFORMATION ndio maana ili kuzima ndoto zake akaundiwa scandal ya usaliti.Nionavyo mimi kuna vijana wengi wa upinzani wanao uwezo wa kitaasisi tatizo ni u mbumbumbu tu
Vijana watz wengi ni mbumbumbu na watumwa wa siasa.Kwa mujibu ya sensa ya watu na makazi zaidi ya 60% ya watanzania ni vijana.Cha kuhuzunisha zaidi vijana hawa kila kukicha wanazidi kumiminika kushabikia siasa wakidhani ndio mkombozi wa maisha yao, well sio mbaya ila ubaya unakuja pale tunapoelekea uchaguzi na hakuna hata kijana kutoka upinzani aliyeonesha nia ya kuongoza taifa hili lenye idadi kubwa ya vijana.....yani wote ukiwauliza nani afaa kuwa rais utasikia MBOWE, SLAA, LIPUMBA yani woooote wamepigwa upofu wajione kwamba hawafai kwa nafasi ya urais.Kazi ya vijana wa leo ni kulinda masunduku ya kura na kuingia barabarani kwa ajili ya maandamano.IKUMBUKWE MWALIMU ALIINGIA MAGOGONI AKIWA KIJANA WA MIAKA37 tu.One love kwa vijana MWIGULU NCHEMBA, JANUARY MAKAMBA, HAMIS KIGWANGALA kwa uthubutu walioonesha.RESPECT kwa ZZK ingawa walikuita msaliti fikra zako zilieleweka.
Mimi ni kijana huru nisiye na mihemuko ya vyama, najali maslahi ya taifa langu, sifungamani na chama chochote please moods usitupie kapuni.

Mbona nyerere aliingia ikulu akiwa na miaka 37 tu?? Kabila wa DRC 34 tu?? Unamfahamu Andry RAJOLINA WA MADAGASCAR??32 kaingia ikulu...Unamjua KIM JONG wa korea ya kaskazini. ...je kwa nini vijana wa leo tushindwe?? Tusiwe mizigoUnataka kukumbilia ikulu ili ufanyeje. Mbona unawashauri ujinga? Kq kijana anayeoa akiwa chini ya miaka 18? Muda wao bado wa kuongoza taasisi ya urais, huku kwingine wacheze but sio upande wa urais. Unataka hadi machangudoa waende ikulu au/ vijana tuna matatizo sana, acha watu wa makamo watuongoze nafasi ya urais.
Hapana, ukombozi huletwa na vijana wenye'uthubutu na wenye nguvusasa kama ukitangaza mijamaa inatangaza kutoana roho na njaa Kali si nafuuu ukakamata rungu kulinda hizo kura ile mkono japo ukasalimie kinywa
Mbona nyerere aliingia ikulu akiwa na miaka 37 tu?? Kabila wa DRC 34 tu?? Unamfahamu Andry RAJOLINA WA MADAGASCAR??32 kaingia ikulu...Unamjua KIM JONG wa korea ya kaskazini. ...je kwa nini vijana wa leo tushindwe?? Tusiwe mizigo
Umeanza na Mungu umemaliza na Ibilisi.