Vijana na utumwa wa siasa

Vijana na utumwa wa siasa

Palipo na mazuri yake acheni asifiwe, palipo na ubaya wake akubali kupondwa tu...tubadili mtazamo wa fikra zetu, tusiwe watumwa wa watu na siasa, tujipange kuikomboa tanzania sisi vijana kutoka mikono ya wanyang’anyi kama ilivokuwa kwa mwalimu na wenzake wakati ule.
Duh kwa andiko lako hili wewe ni zaidi ya Mtumwa.
 
Bwana mdogo ngoja nikushauri kitu kimoja

Acha kunywa viroba mchana

Athari zake ndizo kama hizi.

Sikiliza nikwambie...IKULU sio sehemu ya kukimbilia

Anaeikimbilia ikulu huyo hatufai

mawazo MFU ya kukarilishwa ni sumu iliyochukua asilimia 70 ya bongo za watu, wametengenezwa kuamini kuwa vijana hawawezi na IKULU NI PATAKATIFU!! hatuwezi simama kama kuna wamazo kama hayo

Kabila DRC aliingia ikulu na miaka 34: kuna nn cha mno kinachoifanya ikulu ya Tanzania kuwa ni PATAKATIFU kiasi cha vijana kuhofiwa kuwa watauondoa UTAKATIFU HUU WA IKULU? usitumie magoti kufikilia, utaendelea kuwaabudu walewale na mifumo ileile wakikukalilisha vilevile kuw huwezi kuingia PATAKATIFU hapo!!!!!
mawazo mfu kabisa
 
Sasa kama unaamini katika taaluma yako nini kimekuleta huku,we ni nani kwetu mpaka uje utushauri sisi...unaamini hiyo taaluma iko nje ya mfumo wa siasa hapa?magamba bwana naona siku hizi mnakuja kwa kujificha ficha...tuache kafie mbali mbw.a koko
Nimekuja huku ili kuwafungua macho vijana wenzangu msiwe watumwa.Well, taaluma yangu haiko ndani ya mfumo wa siasa ila wanasiasa ndio wamevamia taaluma wao kujigeuza kila kitu
 
mawazo MFU ya kukarilishwa ni sumu iliyochukua asilimia 70 ya bongo za watu, wametengenezwa kuamini kuwa vijana hawawezi na IKULU NI PATAKATIFU!! hatuwezi simama kama kuna wamazo kama hayo

Kabila DRC aliingia ikulu na miaka 34: kuna nn cha mno kinachoifanya ikulu ya Tanzania kuwa ni PATAKATIFU kiasi cha vijana kuhofiwa kuwa watauondoa UTAKATIFU HUU WA IKULU? usitumie magoti kufikilia, utaendelea kuwaabudu walewale na mifumo ileile wakikukalilisha vilevile kuw huwezi kuingia PATAKATIFU hapo!!!!!
mawazo mfu kabisa

Maaaaaaweeeeeee...hujui unachokisema bwana mdogo....
Haya kamwambie na kijana Lusinde atangaze nia
Kamwambie na kijana mwenzio Aesh Hilal Atangaze nia
Kamwambie na Juliana Shonza atangaze nia
Usisahau kumwambia na Mtela Mwampamba atangaze nia ya Kuwa Rais wa Tanzania
Ninyi watoto wa siku hizi sijui akili zenu mmeweka wapiii
 
kama anayekimbilia ikulu hatufai,labda ikulu iongozwe na wanyama sasa,maana wote hawafai,
 
Nimekuja huku ili kuwafungua macho vijana wenzangu msiwe watumwa.Well, taaluma yangu haiko ndani ya mfumo wa siasa ila wanasiasa ndio wamevamia taaluma wao kujigeuza kila kitu

Utumwa wa nini na wa nani bwana mdogo? au umekariri?
 
kama anayekimbilia ikulu hatufai,labda ikulu iongozwe na wanyama sasa,maana wote hawafai,

Watu watampendekeza na watamwomba mtu wanayemwona anafaa ,watamwomba awaongoze...

Nyie endeleeni kutangaza nia

Sio style ya CHADEMA ni ya CCM hiyo
 
U mbumbumbu sio kumshabikia mbowe, slaa na lipumba hata makaidi....u mbumbumbu ni pale wanapotumika kupigwa ganzi wajione hawawezi na kubaki na kazi ya ulinzi tu....mfano wale mgambo walioapishwa juzi kati Mbeya

Bado hauna haki ya kuwaita hivyo.Kila mtu ananamna ya kujitathmini na kuangalia anauwezo wa kuongoza kwenye ngazi gani.

Hebu tumuone RAIS wetu wa sasa alijiona ana uwezo lakini tunauona uwezo wake ni mdogo sana kulingana na NAFASI aliyoitaka.Muda wote yupo safarini,hajui nini anatakiwa kufanya,hana maamuzi ambayo RAIS anategewa kuyatoa.Ni RAIS dhaifu sana aliyewahi kutokea,hivyo siyo kila mtu anauwezo wa kuwa RAIS.

Na siyo wote wanaojitapa wanataka URAIS wanauwezo karibu wote waliojitanganaza hawana uwezo wa kugombea nafasi hiyo.

Pole ni kutofautiana mawazo tu siyo issue ya UMBUMBU au UJINGA.
 
Mkuu hawa mamburula wa CCM kama yule DC hata uwaeleze kistaarabu hawawezi kukuelewa....Ni watu wa hovyokuwahi kutokea Duniani
 
Maaaaaaweeeeeee...hujui unachokisema bwana mdogo....
Haya kamwambie na kijana Lusinde atangaze nia
Kamwambie na kijana mwenzio Aesh Hilal Atangaze nia
Kamwambie na Juliana Shonza atangaze nia
Usisahau kumwambia na Mtela Mwampamba atangaze nia ya Kuwa Rais wa Tanzania
Ninyi watoto wa siku hizi sijui akili zenu mmeweka wapiii

Acheni kukalilisha watu kile mlichomezeshwa na babu zenu, mahitaji ya watanzania yana badilika kulingana na muda, kwa akili yako hapo PATAKATIFU akiingia kijana kama mimi ama ZZK atapachafua? ama hapatakuwa patakatifu tena? MWENYE UWEZO NDIE ANAYEFAA HATA KAMA NI MIMI WATANZANIA HAKINIHITAJI NITAENDA KWA NIABA YAO. nadhani PLATO hakukosea kuiweka jamii katika madaraja matatu, wewe utakuwa daraja la mwisho maana hujiamini na ni tegemezi wa mawazo ndio maana kuna watu unawaona ni bora kuliko wewe(kwa sababu walizaluwa kuongoza) Endelea kukalili kuwa ni PATAKATIFU na wewe uliye mchafu hautapagusa patakatifu hapo.
 
Kwa hiyo vijana wote wa upinzani hakuna mwenye sifa ya kuwa rais zaidi ya ulinzi wa masanduku ya kura?? Au kuandaa propaganda iwe ni mitandaoni au wapi?? Zamani kazi ya propaganda ilikuwa inafanywa na wazee then wanatumwa vijana wakafanye kazi sasa hivi ni vice versa.JK sio malaika, yapo mazuri mengi aliyoyafanya na yapo yenye mapungufu tuwe wakweli vijana
 
Unajua wewe ni mtu wa ajabu sana...

Sasa unalaumu watu wajitangazie nia....unawalazimisha?

Kama wewe unajiona unatosha tangaza....tangaza ugombeee

Nani kakukataza

Kama huyo ZZK wako unaona anafaaa...mwambie agombee aingie Ikulu

Unajua ukiweza kutumia keyboard usijidhani una akili sana
 
Kwa hiyo vijana wote wa upinzani hakuna mwenye sifa ya kuwa rais zaidi ya ulinzi wa masanduku ya kura?? Au kuandaa propaganda iwe ni mitandaoni au wapi?? Zamani kazi ya propaganda ilikuwa inafanywa na wazee then wanatumwa vijana wakafanye kazi sasa hivi ni vice versa.JK sio malaika, yapo mazuri mengi aliyoyafanya na yapo yenye mapungufu tuwe wakweli vijana

Bwana mdogo bado hujielewi...kama wewe ni kijana na unajiona unatosha ...tangaza nia uende ikulu

Kazi kuwalaumu watu ili iweje?

Hao kina Mbowe na Slaa wenyewe hawajatangaza hata hio nia...sasa sijui unahorojoa nini hapa
FaizaFoxy njoo mhorojoane huku
 
Duh kwa andiko lako hili wewe ni zaidi ya Mtumwa.
Kama uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo, sibishani na wewe ndio matatizo ya shule za kata hizi inahitaji tuziboreshe ili tupate vijana wenye fikra za kujitambua na kujikomboa
 
Vijana watz wengi ni mbumbumbu na watumwa wa siasa.Kwa mujibu ya sensa ya watu na makazi zaidi ya 60% ya watanzania ni vijana.Cha kuhuzunisha zaidi vijana hawa kila kukicha wanazidi kumiminika kushabikia siasa wakidhani ndio mkombozi wa maisha yao, well sio mbaya ila ubaya unakuja pale tunapoelekea uchaguzi na hakuna hata kijana kutoka upinzani aliyeonesha nia ya kuongoza taifa hili lenye idadi kubwa ya vijana.....yani wote ukiwauliza nani afaa kuwa rais utasikia MBOWE, SLAA, LIPUMBA yani woooote wamepigwa upofu wajione kwamba hawafai kwa nafasi ya urais.Kazi ya vijana wa leo ni kulinda masunduku ya kura na kuingia barabarani kwa ajili ya maandamano.IKUMBUKWE MWALIMU ALIINGIA MAGOGONI AKIWA KIJANA WA MIAKA37 tu.One love kwa vijana MWIGULU NCHEMBA, JANUARY MAKAMBA, HAMIS KIGWANGALA kwa uthubutu walioonesha.RESPECT kwa ZZK ingawa walikuita msaliti fikra zako zilieleweka.

Mimi ni kijana huru nisiye na mihemuko ya vyama, najali maslahi ya taifa langu, sifungamani na chama chochote please moods usitupie kapuni.

Hahahaha unaendeshwa na hisia mfu, vip wanaosema Lowassa, Membe, Wassira? je na wao ni vijana?....

maana Mbowe, lipumba na Slaa kwako ndio wazee!!!....
 
Maaaaaaweeeeeee...hujui unachokisema bwana mdogo....
Haya kamwambie na kijana Lusinde atangaze nia
Kamwambie na kijana mwenzio Aesh Hilal Atangaze nia
Kamwambie na Juliana Shonza atangaze nia
Usisahau kumwambia na Mtela Mwampamba atangaze nia ya Kuwa Rais wa Tanzania
Ninyi watoto wa siku hizi sijui akili zenu mmeweka wapiii

VIJANA wa leo wandhani URAIS ni sawa na kufikia wakati wa KUPOSA na kwenda kutoa POSA,hata huko pia kama hujakua kunakuwa kugumu.

Tumuone huyo rais wa DRC toka ameanza amekuwa na changamoto gani na zipi aliziweza kuzitatua kama RAIS?Hebu tumuangalie leo yuko wapi kama RAIS.

URAIS siyo kwenda DISCO jama,kuna hitaji UWEZO,huyo tuliyenaye ameufanya URAIS unekane kama KUNYWA supu za mbuzi mtaani.

Miaka Kumi yote Tanzania tumekuwa kama TAIFA lisilo na mwenyewe,leo eti vijana wanakuja na kujitangaza ati wanaweza.

Hebu tujifunze na huyu aliyepo MADARAKANi ndipo tuende na hao wanatoa RUSHWA za kila rangi ili waupate huo UKULU wa KAYA.Hawajui URAIS siyo issue ya kuipamba CV tu.

Tuwaombee tu hawa hawajui wasemalo............ wala walitakalo...............
 
WUOTE=Freeland;12024231]Bwana mdogo bado hujielewi...kama wewe ni kijana na unajiona unatosha ...tangaza nia uende ikulu

Kazi kuwalaumu watu ili iweje?

Hao kina Mbowe na Slaa wenyewe hawajatangaza hata hio nia...sasa sijui unahorojoa nini hapa
FaizaFoxy njoo mhorojoane huku[/QUOTE]
Thats y I salute walioonesha uthubutu,wao wanatosha ningefarijika sana kuona vijana wengi zaidi wa upinzani wanajitokeza ili ile dhana ya demokrasia itimie.
 
Mkuu hawa mamburula wa CCM kama yule DC hata uwaeleze kistaarabu hawawezi kukuelewa....Ni watu wa hovyokuwahi kutokea Duniani

Kaka tatizo siyo VIJANA tatizo ni RAIS wetu aliyuweka UKUU wa nchi kuonekana kama uigizaji au sawa na yule anayetaka kujaribu kuoa.Ni shida kubwa tuliyonayo kwenye jamii kwa sasa.

Na bado kwenye URAIS kunahitaji siyo tu UZOEFU bali UTHUBUTU wa kufanya maamuzi magumu hata yale maamuzi yataathiri familia,mke au mtoto.Na kati ya hawa wote waliojitokeza hakuna hata mmoja mwenye UTHUBUTU wa kutoa maamuzi magumu.
 
Back
Top Bottom