Vijana na mashangazi

Vijana na mashangazi

Kudate na mishangazi kuna kufanya uwe mzembe kwenye utafutaji.Yani lile jukumu lako la kula kwa jasho unalisahau,unakuja kushtuka nguvu tena hauna, akili yako hukuijenga kwenye kutafuta kwani ulikuwa unategemea kitonga kwa kifupi ukipigwa kibuti inakubidi utafute shangazi jingine lenye hela bila hivyo basi uchumi wako utatetereka,yaani akili yako inakuwa haina tofauti na Slay Queen Mdangaji.

Bila kusahau hela ya mwanamke haijawahi kuwa tamu, vijana wananyanyasika na kutumikishwa kingono mwendo wa kujiboost na mkongo, sema ndio hivyo njaa zinawafanya wavumilie.
 
Hahaha 😂
 
Back
Top Bottom