Vijana na mashangazi

Vijana na mashangazi

Jamaa ndio kawaita hivyo sio mimi kama wewe hudeki basi PSL god anadeka
Wewe nakuona toka jana unakuza hii mada ya jamaa kutuita ndama..

Nasemaje hapa hakuna ndama na hakuna mtu anadeka.
Tunapoeleka uzi utakua wa vita huu..

Uwezi sema mimi naekaa na mishangazi ni ndama hivi ndama anamjua au..?

Kingine sisi hatudeki hv mtoto wa kiume unaanzaje kudeka.
Huyo mtoto wa moses anachotafuta atakipata
 
Kama wababu wanakwenda na wajukuu kwanini wao nao wasilipize kwa hao
 
Humu tu
 
Attachments

  • IMG-20250603-WA0011.jpg
    IMG-20250603-WA0011.jpg
    36.5 KB · Views: 12
Ndio na uvivu wa kuuza sumu za panya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hayo mambo mengine ni kipaji..
Yaan mi seriously nikauze chenji kweli...

ET niamke asubuhi niende kituo cha dala dala niuze miatisa kwa buku...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Kama kutembea na mashangzi ni kosa acha wanipeleke hakimu mkazi kisutu tuu
 
Lloyd Munroe njoo huku, haiwezekani uwaite ndama wenzio.

Back
Top Bottom