min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 47,543
- 131,318
Wewe madam ,nikizeeka nataka niwe kama weweInashangaza sana
Wewe madam ,nikizeeka nataka niwe kama weweInashangaza sana
Unamuita Poor Brain ndama??Naona unaikusanya ndama yako.
Unapenda nigomban na watu humu kudadekUnamuita Poor Brain ndama??
Amna jamaa kakuita ndama mkuuUnapenda nigomban na watu humu kudadek
Mtoto anayeendelea kudeka kwa akina Mama na Wanawake waliomzidi atabakia kuwa ndama.Unamuita Poor Brain ndama??
Eti anataka mishangazi isi enjoy maisha wakati nao pia wanayo haki ya kupigwa miti kama watu wengine.Nimeangalia huu uzi, wanaomshambuli.. Halafu secretarybird ndiye kawaita wale wahuni kuja kumumaliza mtoa uzi.
Namshauri mleta uzi aombe tu aufute maana ataaibika, bado hawajaja akina nusratt, mbaga jr..yaani bado hujasema.
HAYA MAPAMBANO TUNAYAWEZA WACHACHE
1.Kwani kujihusisha kimapenzi na watu wazima ni kinyume na katiba ya nchi?Vijana tunafeli wapi kwanini tunajihusisha kimapenzi na wa kinamama watu wazima.
Haya ndiyo majibu na uzi ufungwe.1.Kwani kujihusisha kimapenzi na watu wazima ni kinyume na katiba ya nchi?
2.Ni kinyume na mafundisho ya Dini? (ikiwa unajibu ambatanisha na kifungu kinachoelezea jambo hilo, iwe kweny Quran au Biblia.)
Kama huna jibu la msingi la maswal yote hapo juu. basi tuache Tujilie MASHANGAZI yetu
Naam..Haya ndiyo majibu na uzi ufungwe.
Mleta uzi sasa usiporidhika basi ana jambo lake.Naam..
Kabisa...Mleta uzi sasa usiporidhika basi ana jambo lake.
OkKabisa...
PSL god na Poor Brain mnatukanwa hukuMtoto anayeendelea kudeka kwa akina Mama na Wanawake waliomzidi atabakia kuwa ndama.
Mkuu mbona umetukamia sisi tu..PSL god na Poor Brain mnatukanwa huku