Vijana na Mapinduzi ya Zanzibar

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,927
30,278
VIJANA NA MAPINDUZI YA ZANZIBAR MOHAMED SAID NA BELINDA SEMTANDI EATV

EATV wamenihoji vipi vijana wahamasike katika kuyaenzi mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964.

Nimewashauri vijana kwanza waielewe historia ya mapinduzi na nimewaelekeza wasome kitabu cha Dr. Harith Ghassany, "Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru," (2010).

Nimezungumza kuhusu vijana kusimamia haki na kupiga vita ubaguzi wa aina yeyote.

Kipindi hiki kitarushwa siku ya kumbukumbu ya mapinduzi tarehe 12 Januari saa mbili kasorobo usiku.

20210106_141836.jpg
Screenshot_20210106-175540.jpg
 
VIJANA NA MAPINDUZI YA ZANZIBAR MOHAMED SAID NA BELINDA SEMTANDI EATV

EATV wamenihoji vipi vijana wahamasike katika kuyaenzi mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964.

Nimewashauri vijana kwanza waielewe historia ya mapinduzi na nimewaelekeza wasome kitabu cha Dr. Harith Ghassany, "Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru," (2010).

Nimezungumza kuhusu vijana kusimamia haki na kupiga vita ubaguzi wa aina yeyote.

Kipindi hiki kitarushwa siku ya kumbukumbu ya mapinduzi tarehe 12 Januari saa mbili kasorobo usiku.View attachment 1670041View attachment 1670042
Sheikh Mohamed: mimi nitajie kitu kimoja tu. Hivi ile Kamati ya Watu 14, nani yuko hsi leo? I mean yeye mwenyewe yuko hai si wajukuuyuda kama fatmakarume? Ramadhani Haji kafariki mwaka jana, kaachaxwatoto?

Nani kabuki?
 
VIJANA NA MAPINDUZI YA ZANZIBAR MOHAMED SAID NA BELINDA SEMTANDI EATV

EATV wamenihoji vipi vijana wahamasike katika kuyaenzi mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964.

Nimewashauri vijana kwanza waielewe historia ya mapinduzi na nimewaelekeza wasome kitabu cha Dr. Harith Ghassany, "Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru," (2010).

Nimezungumza kuhusu vijana kusimamia haki na kupiga vita ubaguzi wa aina yeyote.

Kipindi hiki kitarushwa siku ya kumbukumbu ya mapinduzi tarehe 12 Januari saa mbili kasorobo usiku.

View attachment 1670041View attachment 1670042
Tuombe kama tunaweza kupata soft copy za hiki kitabu, pia tuombe ufafanue bila kificho mchango wa Okello katika mapinduzi ya Zanzibar.
 
VIJANA NA MAPINDUZI YA ZANZIBAR MOHAMED SAID NA BELINDA SEMTANDI EATV

EATV wamenihoji vipi vijana wahamasike katika kuyaenzi mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964.

Kipindi hiki kitarushwa siku ya kumbukumbu ya mapinduzi tarehe 12 Januari saa mbili kasorobo usiku.

View attachment 1670041
Sitakikosa.
Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kuwatumia salaam zangu za kuadhimisha kumbukumbu ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, tutayalinda kwa gharama yoyote.

Nawatakia maadhimisho mema ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Kazi Iendelee!.

Paskali
 
Japo sasa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yanaelekea miaka 60, Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila Majibu -1

Kazi Iendelee!.

Paskali
 
Sitakikosa.
Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kuwatumia salaam zangu za kuadhimisha kumbukumbu ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, tutayalinda kwa gharama yoyote.

Nawatakia maadhimisho mema ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Kazi Iendelee!.

Paskali
Tarehe kama ya leo 11/01/1964 miaka 60 iliyopita, ndio Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yalifanyika!. Alfajiri ya Tarehe 12 Januari, 1964 ilikuwa ni kutangazwa tuu!.

Nawatakia maadhimisho mema ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Paskali
 
Back
Top Bottom