GLOBAL CITIZEN
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 767
- 1,655
Tatizo ni kwamba hizo business ideas zinaanzishwa zimeshashindwa tayari.
Let me tell you.
Kuwa na wazo la biashara na kuendesha biashara yenye faida ni mbingu na ardhi.
Watu wengi wanaanzisha Business wakijifikiria wao vile walivyo smart kubuni wazo ambalo wangine hawajui
Hiyo ni pata potea. I learnt my lessons the hard way.
Ukitaka Kutengeneza app au Online Business inayofanikiwa kweli inatakiwa uwe na wateja kama 10 hivi ambao wameonyesha bila shaka wanahitaji hiyo huduma au bidhaa yako hata kabla hujaiingiza sokoni. Does this sound strange? Stupid?
From there utaweza build real business bila kutaabika.
Sasa unajiuliza utawezaje kufanikisha hili?
That is a million dollar question
Kama wewe ni real entrepreneur utakuwa na jibu.
Na huu mtego watu wengi hawauelewi.
There so many useless apps sijui nani anawaambia watengeneze. Lakini kwa upande mwingine ni sawa tu. Ndiyo soko huria hilo.
Mwisho, watu waendelee kubuni tu hizo app lakini wahakikishe wanakuwa na partner anayefahamu kuuza. Lakini pia mtu anayefamau mambo ya organization kwasababu bila hivyo soon mtakosa vision na kila kitu kitasambaratika.